Utafiti: Wanawake wengi wanaogopa wadudu

Utafiti: Wanawake wengi wanaogopa wadudu

Wakuu habari za leo,

Uzoefu katika maisha ni moja ya taasisi kubwa za kielimu.Nimeishi miaka mingi na kugundua mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na ujasiri wa wanawake mbele ya wadudu wadogo.

Wanawake wengi wanaogopa wadudu wafuatao:
1- Mende
2- Chura
3- Kiwavi
4- Jongoo

Kwa kawaida mwanamke anaeogopa wadudu,anapokabiliana nae akiwa katika mazingira yafuatayo,tegemea ajali ama mayowe:

1- Akiwa anaendesha gari
2- Akiwa ameshikilia sahani ya chakula mkononi
3- Hata akiwa anafanya mapenzi

Juu yenu iwepo amani.

wanaogopa wadudu lakini wanapenda MADUDU
 
1.Mende:
Kingdom-animalia.
Phylum-anthropoda.
class-insecta

Mende ni mdudu.

2.Chura:
Kingdom-animalia.
Phylum-chordata.
class-amphibia.

Chura si mdudu ni amfibia.

3.Kiwavi wa kipepeo.
Kingdom-animalia.
Phylum-anthropoda.
Class-insecta.

kiwavi ni mdudu.

4.Jongoo:
Kingdom-animalia.
Phylum-anthropoda.
Class-diplopoda.

Jongoo si mdudu.

5.Nyoka:
Kingdom-animalia.
Phylum-chordata.
Class-reptilia.

Nyoka si mdudu ni reptile.
Daaah mkuu asante sana umenikumbusha mbali mno... Enzi za Binomial Nomenclature hahahaaaa kweli tumetoka mbali maana nilikua nikiliskia hilo neon naona dunia ya njano
 
ImageUploadedByJamiiForums1457588460.675539.jpg
Introducing PANTHER new technology from Japan

Here is Solutions for saving petrol or fuel with Japanese Micro Fuel Optimizing Technology gives more mileage per liter and smoother engine. .
CALL US: 0762 511 535 or 0689103505

Website www.luesa.co.tz

FOR MORE INFORMATION VISIT OUR SOCIAL MEDIA:
FACEBOOK: luesagroupsltd
TWITTER: @luesacompany
INSTAGRAM: @luesa_limited
 
Yaani mimi huu ujasiri mpaka najishangaa... Nini mende, chura sijui kinyonga!??!!...kuna siku ka miezi 2 iliyopita nilienda bush kwa grandpa, ile nachomoka kichakani nikakutana na bonge la puff adder ( mkubwa na mnene ka kilo 120) yaan fasta nilimdaka shingoni na mimeno yake nilimpiga ngumi mbili za uso ( tough fist) niliona mwenyewe anaishiwa nguvu sijui alikufa maskini!...so sio kila ke ni mwoga

Mhhhhh kama kweli inabidi kupima hormone zako huenda una za kiume wewe sio bure.
puff-adder-how-to-identify.jpg

Yaani mimi huu ujasiri mpaka najishangaa... Nini mende, chura sijui kinyonga!??!!...kuna siku ka miezi 2 iliyopita nilienda bush kwa grandpa, ile nachomoka kichakani nikakutana na bonge la puff adder ( mkubwa na mnene ka kilo 120) yaan fasta nilimdaka shingoni na mimeno yake nilimpiga ngumi mbili za uso ( tough fist) niliona mwenyewe anaishiwa nguvu sijui alikufa maskini!...so sio kila ke ni mwoga
 
Daaah mkuu asante sana umenikumbusha mbali mno... Enzi za Binomial Nomenclature hahahaaaa kweli tumetoka mbali maana nilikua nikiliskia hilo neon naona dunia ya njano
Aaah aah mkuu hatari,binomial nomenclature unapewa lundo la organisms unaambiwa utaje scientific name zao kila kiumbe, kama uko shallow lazima utoke kapa na uichukie bios.
 
Yani kwa uoga wao unaweza kupewa game kwa kumtishia mende ty yani dah...
 
Nakubaliana na huo utafiti. Ndiyo maana kila nikienda shamba huwa sipendi kwenda na mke wangu. Yaani kitu kidogo tu huyo kashapiga kelele.
 
Nilijua tu kuna watakosema hawamuogopi mdudu nyama rider..
Naona mnapenda!! msiwaze hatakaa awaogopeshe
Weee hao wnyma rider wngne wnaogopesha si kwa umbo lile la mundu lazma koo likukauke teh teh teh!
 
Naogopa sana washa washa,
Jamani yule mdudu hapana kwa kweli khaaah!

Sista angu anaogopa kono kono,
Akimuona tu atapiga kelele za ajabu.
 
Back
Top Bottom