Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

Method atumie participatory observation inakuwa na majibu sahihi, interview ina uwongo mwingi
Mkuu unterview inakuwa guided sio unajipangia tu majibu. Watafiti wapo sahihi.
 
Huo utafiti wasirudie tena,maana wanawake wa sasa hivi ukiomba namba tu bado hata haujafika home,unaambiwa gesi imeisha mara nitumie bando mara mama anaumwa ni tafurani tu.
Halafu siku hiyo hiyo unaanza kuitwa 'MUME WANGU". Wanawake wa kizazi hiki Mungu anawaona.
 
Kama kuna wanawake wa aina hii, ni afadhali kabisa kwenda kujiponza Kimboka by Night kuliko kudate na mwanamke mwenye akili hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…