Utafiti: Wanawake hawapendi pesa

Ila wana uhitaji mkubwa wa pesa kuliko wanaume....sasa kitendo cha uhitaji mkubwa ndicho kinachotafsiriwa kama kupenda pesa.
 
Wanasema utafiti unapingwa na Tafiti, ila kwenye hili tukubaliane kujibu kutokana na uzoefu

Kwa uzoefu wangu, bila pesa huwezi kung'oa mchuchu

Atakuvumilia siku moja, siku ya pili hata paja lake hulioni 🙌
Unang'oa vizuri tu. Shida ni kama unataka mahusiano ya kudumu/ndoa.

Sema hata pesa si kitu. Mahusiano yote yana mwisho.

Pesa ni dhamana tu.
 
Unang'oa vizuri tu. Shida ni kama unataka mahusiano ya kudumu/ndoa.

Sema hata pesa si kitu. Mahusiano yote yana mwisho.

Pesa ni dhamana tu.
Bila pesa sio rahisi kumng'oa mchuchu

Zamani kidogo, niliwahi kuachwa kwa kuendekeza ubahiri

Yaani unaletewa mzigo unapiga, kesho tena unaletewa unapiga, kuombwa hela

Zinaanza dana dana, saa ngapi nisiachwe

Hii ilikuwa mwaka 47 lakini, maana nyie vijana hamchelewi kunishikia bango Mzee wenu 🤪
 
Sahihi kabisa, pamoja na uwepo wa mapenzi baina ya wawili lakini pesa bado ni muhimu

Ndiyo maana naweza kushauri vijana, waoe na watulie na familia zao

Mapenzi ya miaka hii, bila pesa penzi halidumu

Na ukiendekeza kuwahonga hao, unaweza kufikia umri wetu huu, huna kitu zaidi ya majuto
 
wanawake wengi hawatazami ukubwa wa pochi, bali ukubwa wa muda unaotolewa . Wengi wanasema pesa sio shida bali umakini na mawasiliano ya kweli ndivyo vinavyogusa moyo zaidi.
Hawakusema ukweli wote.
Wanawake wanapenda pesa kuliko kitu chochote. Ndiyo sababu mwanaume akifulia lazima ateseke sana...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…