Utafiti: Vibamia husababishwa na sababu kuu mbili.

Utafiti: Vibamia husababishwa na sababu kuu mbili.

Huu utafiti ni wa kweli ila la kwenye kuchelewa kufanya mapenz c kweli
 
Huu utafiti ni wa kweli ila la kwenye kuchelewa kufanya mapenz c kweli
 
Opinions zako zote aka Tafiti kwangu sijakidhi hata moja ila jogoo wangu kila nikimpa dem lazima aseme
" taratibu baby naumia"
 
Huo utafiti umefanywa na nani..na lini!?? Tupe link au weka hiyo PUBLICATION hapo..NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK
 
Watoto wa israel walikuwa wanatahiriwa siku ya nane baada ya kuzaliwa-ina maana wewe unaakili kuliko Mungu?

Jean Claude Lamarck alitoa law of use and disuse, utafiti ukaja ukamuweka kwenye kundi la wapumbavu.

Je unayajua madhara ya govi na faida za kutahiriwa?
Usipotoshe umma
Siyo issue ,,,, hata wangetahiriwa Siku ya kwanza kuzaliwa issue ni kwamba wanavibamia au hawana mi nawewe hatujui coz hutujawakagua
 
[emoji23][emoji23]wasitahiriwe kabisa
 
1. Utafiti unaonesha 98% ya wanaume waliotailiwa wakiwa chini ya miaka 3 vibamia wengi wana vibamia.....

2. Utafiti unaonesha 78% ya wanaume ambao mashine wameanza kuitumia wakiwa na miaka zaidi ya 20 wana vibamia.

3. Utafiti unaonesha pia 99% ya wanaume wenye "govi" hawana vibamia.

Ushauri: Ili kuepuka vibamia watoto watahiriwe wakiwa na umri wa miaka zaidi ya 5 au wasitahiliwe kabisa. Pia mashine iliyotahiriwa ianze kutumika ipasavyo mara tuu barehe inapoanza.
Vibamia mnawanyanyasa sana, mi ninao muhogo karibuni hakuna kulipia vat
 
Siyo issue ,,,, hata wangetahiriwa Siku ya kwanza kuzaliwa issue ni kwamba wanavibamia au hawana mi nawewe hatujui coz hutujawakagua
Wewe usiwe kama mganga wa kienyeji,unachobisha ni nini sasa??,Mungu alijua kuwa hakuna madhara kwenye maumbile ya mwanaume ndo maana akaruhusu watahiriwe siku ya nane.

Pia kama hujui science ya binadamu basi jua wenzako wanaijua,Na study zimefanyika na kuonesha hakuna uhusiano wowote kati ya kutahiriwa mapema na uume mdogo.

Hii nchi ina mabashite wengi sana,watu hawajui halafu wanakuwa wabishi kama wamechanjiwa.
Labda tu nikudokeze,sababu kuu za mtu kuwa na uume mdogo ni GENETICS pamoja na upungufu wa homoni za kiume(androgens) especially wakati wa rapid growth of genital organs.
Sasa wewe unabisha kana kwamba wote hatuna uhakika,wengine tunao uhakika wa tunachokisema.
 
Aisee nilitaka nitie jambo ila nikajikuta nimekaukiwa na maneno baada ya kusoma hii hoja yako. Haki umekata mbuyu na kugusa haswa pale panapouma.

- Amini nakwambia
 
Back
Top Bottom