Utafiti: Vibamia husababishwa na sababu kuu mbili.

Utafiti: Vibamia husababishwa na sababu kuu mbili.

No moja sio kwel mkuu..sie kwetu watoto wakiume ufanyiwa sunnah wanapozaliwa tu means kitovu kikianguka nae kapona duyuduy mara chache kufanyiwa sunnah kuanzia siku 7 au two months inategemea na afya ya mtoto aliyozaliwa nayo...even me nimefanyiwa sunnah siku chache tangu nizaliwe ila manshallah nimeficha panya..anayebisha aje PM ila awe jinsia KE
 
Namba 1 hapana, namba 2 na 3 sawa. Ujue unavoandika humu kuna wataalamu kuwa makini. Halafu ya uongo umeweka namba 1. Labda kama utafiti wamefanya TWAWEZA.
 
1. Utafiti unaonesha 98% ya wanaume waliotailiwa wakiwa chini ya miaka 3 vibamia wengi wana vibamia.....

2. Utafiti unaonesha 78% ya wanaume ambao mashine wameanza kuitumia wakiwa na miaka zaidi ya 20 wana vibamia.

3. Utafiti unaonesha pia 99% ya wanaume wenye "govi" hawana vibamia.

Ushauri: Ili kuepuka vibamia watoto watahiriwe wakiwa na umri wa miaka zaidi ya 5 au wasitahiliwe kabisa. Pia mashine iliyotahiriwa ianze kutumika ipasavyo mara tuu barehe inapoanza.
Watoto wa israel walikuwa wanatahiriwa siku ya nane baada ya kuzaliwa-ina maana wewe unaakili kuliko Mungu?

Jean Claude Lamarck alitoa law of use and disuse, utafiti ukaja ukamuweka kwenye kundi la wapumbavu.

Je unayajua madhara ya govi na faida za kutahiriwa?
Usipotoshe umma
 
Watoto wa israel walikuwa wanatahiriwa siku ya nane baada ya kuzaliwa-ina maana wewe unaakili kuliko Mungu?

Jean Baptiste Lamarck alitoa law of use and disuse, utafiti ukaja ukamuweka kwenye kundi la wapumbavu.

Je unayajua madhara ya govi na faida za kutahiriwa?
Usipotoshe umma
 
Ndugu zangu hata madaktari wanashauri watoto wa kiume watahiriwe wakiwa na miaka mitano na kuendelea.Madaktari kujeni hapa muongeze nyama kama nimekosea.
 
Back
Top Bottom