kandoro2017
Member
- Feb 5, 2017
- 7
- 2
Nadhani ni matokeo ya Aprili fool
Kitendo cha Mungu kuruhusu siku hiyo Ya nane inaashiria kuwa haina madhara kutahiri katika umri mdogo,Mungu hawezi ruhusu kitu chenye madhara kwa watu wake.Mbona umekuwa mkali? Mungu anaingiaje hapa? Wewe ni ipi inakuhusu? Vibamia havifai ktk ndoa.
Wakuu no 3 imesha pata uhakiki,Dada hapa naona katoa ushuhuda juu ya mikono ya sweta tuna shukuru tunaomba uendelee kutujuza na mengine.....Naunga mkono hitimisho na no 3
Yani mtoa Mada una taka mm nipoteze muda wa kumlinda mwanangu dhidi ya kibamia wakati baba yake ninacho mm nani alinilinda nisikipate,mwache akipate na yeye aje aangaike nacho,yani nikuzae mwenyewe alafu uje unizidi kiboyaboya hzo dharau Sasa....1. Utafiti unaonesha 98% ya wanaume waliotailiwa wakiwa chini ya miaka 3 vibamia wengi wana vibamia.....
2. Utafiti unaonesha 78% ya wanaume ambao mashine wameanza kuitumia wakiwa na miaka zaidi ya 20 wana vibamia.
3. Utafiti unaonesha pia 99% ya wanaume wenye "govi" hawana vibamia.
Ushauri: Ili kuepuka vibamia watoto watahiriwe wakiwa na umri wa miaka zaidi ya 5 au wasitahiliwe kabisa. Pia mashine iliyotahiriwa ianze kutumika ipasavyo mara tuu barehe inapoanza.
Sana,ila usisahau kuwa mimi ni dada.Ni vizuri kujipa moyo
HahahahahaaaaaaaaaaaaYani mtoa Mada una taka mm nipoteze muda wa kumlinda mwanangu dhidi ya kibamia wakati baba yake ninacho mm nani alinilinda nisikipate,mwache akipate na yeye aje aangaike nacho,yani nikuzae mwenyewe alafu uje unizidi kiboyaboya hzo dharau Sasa....
HaaahaaaaNyangeta Mussa bila shaka jamaa yako anavigo
Mkuu unakata Kwa sabb imekugusa au veeep,, kama veep njoo na sababu za kukata.Namba moja nakataa
Yeah atakupenda kwa hellakw utafit nliofany mm asilimia kubw ya wanawake wanapend wawe n maish mazur n kuish n mwanaume anaempend bila kujal kuw n kbamia au n hoho.mwnamke ardhk kw icho tu.faraj y mwnamke ipo kwny maisha mazur.mwnaume jitume ufnye kazi umtunze mkeo n yy atrdhk n ww kw hali yyte y kimaumbile uliyo nayo.......asiye rdhik n either alibakw utoton au alianz mapenz n watu wazima akiw mdgo au hulka ya kupend kutembea n wanaume weng...yote n yote jibu n helaaaa fulstop
Yeah atafata hella ila hyo haimaanishi kuwa atakupendakat y watu wanaoongoz kw kuchapian wake n maskin ten waishio uswahilin huku waume zao wakiw n mafund wakusugua .fny utft n ujilize KUNA NINIIIII HAPA
Kwani ww una kibamia au[emoji12] [emoji12]Wewe usiwe kama mganga wa kienyeji,unachobisha ni nini sasa??,Mungu alijua kuwa hakuna madhara kwenye maumbile ya mwanaume ndo maana akaruhusu watahiriwe siku ya nane.
Pia kama hujui science ya binadamu basi jua wenzako wanaijua,Na study zimefanyika na kuonesha hakuna uhusiano wowote kati ya kutahiriwa mapema na uume mdogo.
Hii nchi ina mabashite wengi sana,watu hawajui halafu wanakuwa wabishi kama wamechanjiwa.
Labda tu nikudokeze,sababu kuu za mtu kuwa na uume mdogo ni GENETICS pamoja na upungufu wa homoni za kiume(androgens) especially wakati wa rapid growth of genital organs.
Sasa wewe unabisha kana kwamba wote hatuna uhakika,wengine tunao uhakika wa tunachokisema.
Kumbe nabishana na chizi,kusoma hujui,hata kusimuliwa pia huelewi,mirembe ndo saizi yakoKwani ww una kibamia au[emoji12] [emoji12]
Hasara ya kuw na kibamia au faida ya kuwa na mhogo ni nini?1. Utafiti unaonesha 98% ya wanaume waliotailiwa wakiwa chini ya miaka 3 vibamia wengi wana vibamia.....
2. Utafiti unaonesha 78% ya wanaume ambao mashine wameanza kuitumia wakiwa na miaka zaidi ya 20 wana vibamia.
3. Utafiti unaonesha pia 99% ya wanaume wenye "govi" hawana vibamia.
Ushauri: Ili kuepuka vibamia watoto watahiriwe wakiwa na umri wa miaka zaidi ya 5 au wasitahiliwe kabisa. Pia mashine iliyotahiriwa ianze kutumika ipasavyo mara tuu barehe inapoanza.