TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,870
- 5,755
Mwizi kama Lowassa anawaokoa CCM kutoka wapi?kwa CCM huyo EDO ndio wa kuwaokoa nyie watumwa wadogo. tatizo ni HAMUMKUBALI. sasa mtatokea wapiiii?
Mwizi kama Lowassa anawaokoa CCM kutoka wapi?kwa CCM huyo EDO ndio wa kuwaokoa nyie watumwa wadogo. tatizo ni HAMUMKUBALI. sasa mtatokea wapiiii?
Ambao hawajqchoshwa na episode za LOWASSA ni Apson na genge lake, ambao waamini katika ukwapuajiWatu gani unaowaongelea wewe?tafadhali ongelea nafsi yako peke yako ua nothing!!!!and ua not repesenting anybody ni wewe na familia yako basi
Tuliza maboga dada,wewe umezaliwa kutawaliwa na rais wako 2015 ni Comrade EL
Ifikie wakati sasa wahariri watueleze ukweli. Lowasa ni fisadi ambaye fedha zake zinamuwasha mwili mzima
CCM ni zaidi ya fisadi Lowasakwa CCM huyo EDO ndio wa kuwaokoa nyie watumwa wadogo. tatizo ni HAMUMKUBALI. sasa mtatokea wapiiii?
Yeye mwenyewe yupo ICULowasa atawafanya wenzake wajinyonge bure.
Vijana watiifu tuko wengi na tuko imara kama chuma cha pua!!!
Watu gani unaowaongelea wewe?tafadhali ongelea nafsi yako peke yako ua nothing!!!!and ua not repesenting anybody ni wewe na familia yako basi
utafiti gani huo, nimejaribu kupiga kura lakini sikuona mabadiliko yoyote ktk matokeo.Utafiti wa Urais uliochapishwa na gazeti la Rai linalomilikiwa na Rostam Azizi unaoonesha Lowassa anaongoza kwa 52% akifuatiwa na Dr Slaa na January Makamba umetajwa kuwa ni kiinimacho na hadaa kwa watanzania, imebainika.
Utafiti huu uliokataliwa na wahariri wa magazeti karibu yote kuandikwa inasemekana inayokana mapungufu yafuatayo ambayo hayakupata majibu kutoka kwa waandaaji :-
1.Umeandaliwa na vijana was Lowassa wanaofanya kazi mtandaoni.
2.Kura ilikua haina ukomo, unaweza kupiga mara nyingi uwezavyo
3.Vijana wa Lowassa waliandaliwa utaratibu wa kupiga kura usiku na mchana ili tu mgombea wao aongoze kwa mbali sana.
4.Admin au muendeshaji wa kura hiyo alikua na mamlaka ya kuingia na kutazama na hata kudhibiti nani aendelee kuongoza na nani afuatie.
5.Dr Slaa ametengenezwa aonekane anafuatia nyuma ya Lowassa ili ionekane kuwa CCM isipomsimamisha Lowassa basi wapinzani watachukua nchi.
Baada ya waandishi na wahariri wote kukataa kuchapisha Utafiti huo wa hovyo wakihoji nani kauandaa na ulipimwa kwa vigezo gani vya kisayansi, ni gazeti la Rai pekee linalomilikiwa na Rostam Azizi, rafiki mkubwa wa Lowassa ndilo pekee limechapisha habari hiyo.
Lowassa ajajitekenya na kucheka mwenyewe.
Huyo fisadi wenu akiangukia pua,mtatafuta mahali pa kuficha sura zenu. Subirini
hawezi kuwa rais huyo fisadi. urais sio hodi ya maisela kulaza wagonjwa. 2015 tunamuhitaji rais mwanamke na awe msomi zaid kama professa.Utafiti wa Urais uliochapishwa na gazeti la Rai linalomilikiwa na Rostam Azizi unaoonesha Lowassa anaongoza kwa 52% akifuatiwa na Dr Slaa na January Makamba umetajwa kuwa ni kiinimacho na hadaa kwa watanzania, imebainika.
Utafiti huu uliokataliwa na wahariri wa magazeti karibu yote kuandikwa inasemekana inayokana mapungufu yafuatayo ambayo hayakupata majibu kutoka kwa waandaaji :-
1.Umeandaliwa na vijana was Lowassa wanaofanya kazi mtandaoni.
2.Kura ilikua haina ukomo, unaweza kupiga mara nyingi uwezavyo
3.Vijana wa Lowassa waliandaliwa utaratibu wa kupiga kura usiku na mchana ili tu mgombea wao aongoze kwa mbali sana.
4.Admin au muendeshaji wa kura hiyo alikua na mamlaka ya kuingia na kutazama na hata kudhibiti nani aendelee kuongoza na nani afuatie.
5.Dr Slaa ametengenezwa aonekane anafuatia nyuma ya Lowassa ili ionekane kuwa CCM isipomsimamisha Lowassa basi wapinzani watachukua nchi.
Baada ya waandishi na wahariri wote kukataa kuchapisha Utafiti huo wa hovyo wakihoji nani kauandaa na ulipimwa kwa vigezo gani vya kisayansi, ni gazeti la Rai pekee linalomilikiwa na Rostam Azizi, rafiki mkubwa wa Lowassa ndilo pekee limechapisha habari hiyo.
Lowassa ajajitekenya na kucheka mwenyewe.
Ambao hawajqchoshwa na episode za LOWASSA ni Apson na genge lake, ambao waamini katika ukwapuaji