yuleyulenimewachokaa
Senior Member
- Nov 8, 2014
- 146
- 32
Kama ni Ikulu ya hapa Tz, naamini kuwa ni EL mpangaji wetu mpya. Kwa nini? Pesa aliochukua kwa Richmond peke yake, ana uwezo wa kumlipa kila Mtz shs 3.000.000/= kwa malipo tulio mlipa kwa siku moja tu. Alilipwa siku 180. Je akitaka kuingia ikulu kwa kuwapa malipo ya siku mbili kila mtanzania ana hasara gani??
Kama tuliambiwa tutakula nyasi, akisema sasa njooni mchukue vijisenti hivyo si kila mtu atampa kura?? Msinipige mawe jamani, nawaza tuu wala mi si team yake huyo fijisadi. Mola epusha mzigo huu usiiangukie nchi yangu Tanganyika, naipenda mpaka naiota lakini hao wenye meno wanaitafunaaaaa
Mkuu yule fisadi ni hatari