assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
utafiti uliochapishwa kwenye gazeti LA RAI la leo unaonyesha mh. Edward Lowassa anaongoza akifuatiwa na Dk. Slaa.
Huyo fisadi wenu akiangukia pua,mtatafuta mahali pa kuficha sura zenu. Subirini

Atachaguliwa na mke wake siyo watanzania kama anavyodhani wanakaa wanapika utafiti halafu wanapotosha watu.
We mchumia tumbo tulia unyolewe ndevu kwa sime wewe,lowssa bado atawahemea kisogoni sana
ATAKUWA RAIS WA WAPI MTU ALIEFUKUZWA UWAZIRI MKUU KWA UFISADI. kwani watu safi wameisha hadi tuokoteze?