Kwani TISS ndo nini? Alafu kitendo cha kutojurikana hii idara ina majukumu gani jamii inajivuruga sana.Hadi vichaa walichanganyikiwa na madawa ya kulevya wanasadikiwa wote ni TISS at the same time wengine ni rafiki zetuJe, utafanya nini endapo sehemu unayofanya kazi jamii inakuhisi wewe ni TISS na huku hata mshahara wa TISS huujui, na hakuna evidence -- kila mtu anasema amesikia kwa watu?
uswahilini kuna Lunch?Siku moja watoe out lunch wachane live kuwa wewe sio TISS kwahiyo waache kukuzushi
Hivi bado kuna huu ushamba? ....sijui ni kwa sababu naishi nao na kunywa nao kila siku..nawaona wakawaida sana....ni kazi kama nyingine zinazohitaji disciplines za juuHii inaendelea kunitokea. Mfano, wakati wa uchaguzi kuna jamaa nilikuwa ninakunywa nao mbege sehemu fulani, wakijadili siasa za vyama wanajishtukia wanaangalia na kusema oya mwanausalama yupo hapa. Wanapiga kimya.
Ishu ni kwamba Sina muda Sana kutulia mtaani, hawajui kazi yangu, halafu sikai mahala muda mrefu.
Na hata nikiwepo nyumbani hawajui, nikitoka hawajui.
Inakuwa kazi kunielewa.
Ila kisheria kumuhisi mtu ni usalama ni kosa, na hata Kama ni kweli Ni kosa pia kusema fulani ni TISS officer.
Hivi bado kuna huu ushamba? ....sijui ni kwa sababu naishi nao na kunywa nao kila siku..nawaona wakawaida sana....ni kazi kama nyingine zinazohitaji disciplines za juu
Sawa mkuuMwaka 2018 niliitumia hiyo Kama fursa
Sitakaa nisahau
Na niseme tu ikitokea tena sitoacha
hawa ni watch dog kila pahala tunao wanatusaidia sana hawana ubaya wowote [if you are a clean person]ma-TISS ni mojawapo ya the most stupid people I have ever seen
Majitu ya hovyo mno
Yanashiriki kuonea wanadamu wenzao kuridhisha stupid government and politicians..
Such an evil group of motherfvckers!
Halafu hayanaga akili,shule yalifeligi,majinga jinga matupu..hayajui lolote..halafu yanvyojidai sasa!
Always private sector gets the best people,pay the best money and always ahead of you stupid government slaves!
jamaa atakuwa anavaa zile suti za hovyo kama za Musiba.Kwanini wanakuhisi hivyo?
Ukiona hivyo ujue unajifanya much knowJe, utafanya nini endapo sehemu unayofanya kazi jamii inakuhisi wewe ni TISS na huku hata mshahara wa TISS huujui, na hakuna evidence -- kila mtu anasema amesikia kwa watu?
Unawapa rushwa!Je, utafanya nini endapo sehemu unayofanya kazi jamii inakuhisi wewe ni TISS na huku hata mshahara wa TISS huujui, na hakuna evidence -- kila mtu anasema amesikia kwa watu?
Mkuu wengi watakushukia hapa kwa sababu wanachukulia mambo juu juu,ila nahisi kuna baadhi ya mionekano ya watu kwenye jamii huwa wanahisiwa hivyo....Je, utafanya nini endapo sehemu unayofanya kazi jamii inakuhisi wewe ni TISS na huku hata mshahara wa TISS huujui, na hakuna evidence -- kila mtu anasema amesikia kwa watu?
Bila shaka wewe ni muhalifuma-TISS ni mojawapo ya the most stupid people I have ever seen
Majitu ya hovyo mno
Yanashiriki kuonea wanadamu wenzao kuridhisha stupid government and politicians..
Such an evil group of motherfvckers!
Halafu hayanaga akili,shule yalifeligi,majinga jinga matupu..hayajui lolote..halafu yanvyojidai sasa!
Always private sector gets the best people,pay the best money and always ahead of you stupid government slaves!