Wakuu nina tatizo la kuhisiwa kuwa mimi ni Afisa Usalama, tatizo ni nini!?

Labda unabehave like...that's why wanakuhisi...but kwa kuwa haikuingizii Senti mfukoni wewe komaaa na kibarua chako
Huwa siigizi mkuu,wala sijawahi kufikiri kufanya hvyo..ila inatokea tuu naambiwa hivyo.nilikuwa sijijui kabisa
 
Usalama wa taifa Ni watumishi tu, nao hufukuzwa, msikuze mambo, Ni taasisi nzuri ila inahitaji nidhamu na kujituma haswaa!

Mtu kukuhisi usalama wa taifa siyo vibaya, ila usipende kujiweka tofauti na watu.

Cooperate with your surrounding majority!
 
Wakuu habarini za kutwa!
Poleni na majukumu,nina imani wazima.

Wakuu nina swali linanitatiza kidogo,naomba mnipe msaada hili jambo limekaaje..

Wakuu katika mazingira na mjumuiko wa watu mbalimbali ambao niliowahi/ninaoishi nao huwa wanakuwa na wasiwasi na mimi wakinihisi ni mtu wa Usalama wa Taifa ilihali sio.

...Pia kipindi hicho nikiwa masomoni walinihisi vivyo hivyo(haswa chuo)kuna baadhi nilizungumza nao..

Mmojawapo alidai moja ya sababu ikiwemo ni (looking style) haswa nikiwa kwenye mjumuiko wa watu.sifahamu hii imekaaje....

Wa pili alidai kuhusu mazungumzo,....na alimalizia kuhusu maswali ninayouliza-wakuu hapa nikiri kama ni swali huwa ninauliza maswali kikawaida sana kama watu wengine.

Kuna wengine walidai kwa mwendo wa kutembea

Sasa wakuu naombeni msaada kuhusu haya,

Mtu akiwa/anayefanania na Usalama wa Taifa yupoje?..vipi kuhusiana na walking style ya mtu?

Ni kigezo gani kinaweza kumtafsiri kuwa mtu flani ni Usalama? haswa kuhusu aina yake ya maswali anayoyauliza?

Staili gani ya macho huweza kuashiria kuwa mtu flani anafanya kazi za kipelelezi? Kama mdau alivyosema?ilihali sio?

NAWASILISHA
Utoto!!
 
Punguza ukada.
 
Usalama wa taifa Ni watumishi tu, nao hufukuzwa, msikuze mambo, Ni taasisi nzuri ila inahitaji nidhamu na kujituma haswaa!

Mtu kukuhisi usalama wa taifa siyo vibaya, ila usipende kujiweka tofauti na watu.

Cooperate with your surrounding majority!
huwa nasocialize sana mkuu,ila bado kuna tatizo
 
Back
Top Bottom