the say
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,633
- 3,109
Umeoa?watoto wenyewe ni kaka zake au dada zake na mtoto wako uliyezaa na mwanamke huyo. hilo nalo ni la kuzingatia. mimi watoto wa mama tulionyonya ziwa moja hata kama wasingekuwa wa baba yangu, sioni tofauti yeyote, ni wenzangu na nisingependa mtu yeyote hata baba awatose. connection hiyo ipo, anayewanyanyasa au kuwatosa ananikwaza na mimi pia.