Mke au Mume wako ni zaidi ya Baba, Mama na Watoto

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,837
Siku ipo nitatoa somo la ndoa ila ipo hivyo, mke wako na mme wako ni mwili mmoja wewe ni yeye damu moja ndio maana mnatumia mwili kupata watoto.

Ikitokea mama anaumwa na mke wako kwa wakati mmoja anza kumpa pesa ya matibabu mke wako kwanza kwakua ni mwili wako, ni bora ufiwe na mtoto, baba na mama kwa wakati mmoja ila sio mke au mume.

Vijana ngojeni nitarudi kuwapa somo hapa nasema Mke na Mume katika ndoa sio mnaookotana kwenye madanguro nyie sio Mke na Mume nyie ni wahuni.
 
Siku ipo nitatoa somo la ndoa ila ipo hivyo, mke wako na mme wako ni mwili mmoja wewe ni yeye damu moja ndio maana mnatumia mwili kupata watoto

Ikitokea mama anaumwa na mke wako Kwa wakati mmoja Anza kumpa pesa ya matibabu mke wako kwanza kwakua ni mwili wako, ni bora ufiwe na mtoto, baba na mama Kwa wakati mmoja ila sio mke au mme. Vijana ngojeni nitarudi kuwapa somo hapa nasema mke na mme ktk ndoa sio mnaookotana kwenye madanguro nyie sio mke na mme nyie ni wahuni Malaya
Siku hizi Walimu mnafundishwa somo la maadili kweli?
 
Siku ipo nitatoa somo la ndoa ila ipo hivyo, mke wako na mme wako ni mwili mmoja wewe ni yeye damu moja ndio maana mnatumia mwili kupata watoto

Ikitokea mama anaumwa na mke wako Kwa wakati mmoja Anza kumpa pesa ya matibabu mke wako kwanza kwakua ni mwili wako, ni bora ufiwe na mtoto, baba na mama Kwa wakati mmoja ila sio mke au mme. Vijana ngojeni nitarudi kuwapa somo hapa nasema mke na mme ktk ndoa sio mnaookotana kwenye madanguro nyie sio mke na mme nyie ni wahuni Malaya
Acha kuchanganya baba na mama na vitu vya ajabu
 
Daaaaaaaa umekosea pakubwaa sana kumfananishaa mama aliyekuzaaa na mwanamke unayemchomeka ubo* wako mkuu...

Tubu hyo dhambii..
FB_IMG_1685846007601.jpg
 
Attachments

  • IMG-20230608-WA0005.jpg
    IMG-20230608-WA0005.jpg
    83 KB · Views: 19
  • IMG-20230608-WA0004.jpg
    IMG-20230608-WA0004.jpg
    28.9 KB · Views: 16
  • FB_IMG_1686221512373.jpg
    FB_IMG_1686221512373.jpg
    79.6 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1686221023778.jpg
    FB_IMG_1686221023778.jpg
    62.1 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1686212601572.jpg
    FB_IMG_1686212601572.jpg
    49.7 KB · Views: 13
  • FB_IMG_1686212601572.jpg
    FB_IMG_1686212601572.jpg
    49.7 KB · Views: 12
Back
Top Bottom