Sasa hapo Kuna utabiri gani na wewe ?
Watanzania na miujiza ni kama kumsukuma mlevi mkuu🤣Utabiri wa kifala! Kila mtu atakufa, tena alikuwa mzee na mgonjwa!
Na ni lazima afe.Kifo ni cha kila Mtu, na wala kifo siyo adhabu, hata wewe nakutabiria utakufa..
Asante Nabii Lema
Hii kauli haitosahaulika kamwe.
Siwezi kufurahia kifo cha binadamu hata awe mwovu kama Samia ila unafikiri watu walioumizwa, na hawa wendawazimu walipokuwa madarakani siyo binadamu? Tuishi tukijua kila mtu atakufa na wao wajue hivyo ili waache kuua.Utabiri wa kifala! Kila mtu atakufa, tena alikuwa mzee na mgonjwa!
Manabii wa Mungu wamepewa karama na vipawa tofauti tofautiMwahiyo yeye ni mtabiri wa vifo tu ?
Ni post ya dhahania.Kila mtu atakufa tu.
Bullshit! Sasa huo ndo utabiri gani?
Lema yeye atakufa lini?
Mpumbavu tu ndio atasikitikaUtabiri wa kifala! Kila mtu atakufa, tena alikuwa mzee na mgonjwa!