Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,064
- 144,498
Kwa nondo anazoshusha Lissu kuhusu mambo mbalimbali likiwemo swala la mashehe wa uamsho katika mikutano yake ya kampeni huku akichagiza kampeni zake kwa kauli mbinu ya chama chake ya uhuru, haki na maendeleo ya vitu, ni swala la muda tu kabla mashehe hawa hawajaachiwa kwa dhamana.
Hotuba za Lissu ni mwiba mkali kwa Magufuli,CCM na serikali ya CCM chini ya Magufuli, hivyo ni swala la muda tu kabla baadhi ya mambo hayaajaanza kurekebishwa likiwamo hili la mashehe wa uamsho.
Haya yote ni matokeo ya kuzima watu midomo kwa miaka mitano huku ukiwa hunan wa kukosa na sasa mnakuja kukosolewa katika kipindi cha kampeni.
Ukweli ni kwamba,ungekosolewa mwanzoni na kuona muitikio wa wananchi,huenda ungekuwa umejirekebesha badala ya kusubiri kuja kujirekebisha kipindi hiki cha kampeni.
Too late,kwa sasa mnavuna mlichopanda kwa miaka mitano.