Oparesheni 255: Tundu Lissu aingia Chato kwa kishindo, amlipua Magufuli bila huruma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,247
Ile kampeni ya CHADEMA ya kuelimisha wananchi kuhusu umuhimu na ulazima wa Katiba Mpya, imeshika kasi huko Chato ambako ilipangwa kufanyika mikutano mitano kwa siku moja tu.

Pamoja na kukodi waganga, wachawi na maharamia waliolipwa ili kuchoma magari ya CHADEMA kwa lengo la kumtisha Lissu, lakini jambo hilo limeshindikana na Lissu kaingia Chato kwa kishindo kikuu, huku umati wa watu ukimfuata kila mahali.

Pamoja na elimu kubwa aliyoitoa kuhusu Katiba Mpya na Mkataba wa kudhalilisha nchi wa Bandari na DP World ya Dubai, Mh. Lissu amewaambia watu wa Chato kwamba Magufuli ndiye aliagiza watu wamshambulie kwa risasi ili wamuue na kwamba alimwagiza Job Ndugai aliyekuwa Spika wa Bunge kwamba baada ya Lissu kuuawa asifanyiwe uchunguzi wowote na azikwe haraka kwao Ikungi.

Hata hivyo Lissu amedai kwamba, kifo hicho cha kupangwa kilishindikana baada ya Mungu kukataa njama za Shetani.

Wakati Lissu akimwaga maneno hayo watu wengi hawakuonyesha kushangaa maana ni kama walikuwa wanaelewa kila kilichosemwa. Jambo lingine ambalo Lissu amelisema kuhusu Magufuli A.K.A Jiwe ni hasara kubwa aliyoisababisha baada ya kuvunja Mikataba ya Makampuni ya Wazungu kwa ushauri wa akina Kabudi, Osoro na Mruma. Bali Lissu amesema pamoja na uharamia huo wa Magufuli bado hakuuza Bandari za Tanganyika.

Screenshot_2023-08-02-14-19-29-1.jpg
 
Ile kampeni ya Chadema ya kuelimisha wananchi kuhusu umuhimu na ulazima wa Katiba mpya, imeshika kasi huko Chato ambako ilipangwa kufanyika mikutano mitano kwa siku moja tu.

Pamoja na kukodi Waganga, Wachawi na Maharamia waliolipwa ili kuchoma magari ya Chadema kwa lengo la kumtisha Lissu lakini jambo hilo limeshindikana na lissu kaingia Chato kwa kishindo kikuu , huku umati wa watu ukimfuata kila mahali .

Pamoja na elimu kubwa aliyoitoa kuhusu Katiba Mpya na Mkataba wa kudhalilisha nchi wa Bandari na DP WORLD ya Dubai, Mh Lissu amewaambia Watu wa Chato kwamba Dr Magufuli NDIYE ALIAGIZA WATU WAMSHAMBULIE KWA RISASI ILI WAMUUE NA KWAMBA ALIMWAGIZA JOB NDUGAI ALIYEKUWA SPIKA WA BUNGE KWAMBA BAADA YA LISSU KUUAWA ASIFANYIWE UCHUNGUZI WOWOTE NA AZIKWE HARAKA KWAO IKUNGI. Hata hivyo Lissu amedai kwamba, kifo hicho cha kupangwa kilishindikana baada ya Mungu kukataa njama za Shetani .

Wakati Lissu akimwaga maneno hayo watu wengi hawakuonyesha kushangaa , maana ni kama walikuwa wanaelewa kila kilichosemwa , Jambo lingine ambalo Lissu amelisema kuhusu Magufuli A.K.A Jiwe , ni hasara kubwa aliyoisababisha baada ya kuvunja Mikataba ya Makampuni ya Wazungu , kwa ushauri wa akina Kabudi , Osoro na MrumaBali Lissu amesema pamoja na uharamia huo wa Magufuli bado hakuuza Bandari za Tanganyika .

View attachment 2706349
Hapo Tundu A Lissu amekosea na itamgharimu sana katika safari yake ya uanaharakati. Kuwashambulia familia na jamii alikotoka aliyekuwa anamchukia kwa tuhuma kwamba aliamuru ashambuliwe kwa risasi ili afe wakati hakuna uchunguzi woote uliowahi kufanyika na kuthibitishwa mahakamani ni kuchochea machungu na hasira ambazo zitaleta athari kubwa isiyorekebishika kamwe. Huenda ikawa ndio mara yake ya mwisho kwenda na kukanyaga huko maana ukanda huo wa Chato, Mganza, Bwanga, Buseresere, Katoro na Buziku ni watu ambao wakichukia ni sharti agano lao walitimize ama kwa njia kuua, kuroga, kugomea jambo katika vitendo na maneno pamoja na vurugu ambazo huambatana hasara ya kupoteza mali au kufa.

Kuna wafanyabiashara ambao ni majambazi na wafadhili wa baadhi ya viongozi wa kisiasa
 
Katupa Jiwe gizani kwa Sababu aliyezima CCTV inadaiwa ni naniliu!
 
Hivi unajua idadi ya wavuvi waliouawa Rubondo ? yaani hawa wamepoteza ndugu zao ndio wamchukie Lissu ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom