Nachomkubali pep ni hapo tuu....kama anasaka goli unaona kabisa mtu anapigwa pin nusu yake.Mbappe atapata wapi mpira. Timu nzima imeminywa. Naona kila timu ikicheza na City ni nusu uwanja na msako.
It doesnt matter how talented a player is, no player in the world can beat a well organized press. Awe chama neymar mbape ronaldo de lima konde boy, mkimvamia kama wanavyovamia man city 97/100 mtampora mpira.