Liver kwa Madrid mtejaLiver na Madrid ni wasaa mzuri wa kulipana visasi.
Fc Bayern safari imewakutapsg hapo wanaaga
Bado nina imani na liverKwaheri View attachment 2409312Liverpool
Mancity, Benfica, Napoli, Chelsea na Inter ni mwendo wa mteremko wote wataenda robo.Kwaheri View attachment 2409312Liverpool
Ila Napoli sasa hivi ni tishio. Coulibaly anajutaTeam Napoli tukutane ziwani kwenye kuvuta ndege
Kwa mziki wa Madrid livakuku hawezi toboaLiver na Madrid ni wasaa mzuri wa kulipana visasi.