UEFA champions league 2022/23 quarter final draw prediction

Adipoz

JF-Expert Member
Jan 24, 2023
528
457
Siku ya kesho kunatarajiwa kuchezeshwa draw ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya, Europa pamoja na conference league.

Hivyo sio mbaya wadau wa soka tukajadiliana na kutoa mitizamo mbalimbali kuhusu nani atakutana na nani katika hatua ya robo Fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.

TIMU ZILIZOFUZU.

1. Chelsea (England)
2. Benfica ( Portugal)
3. AC Milan ( Italy)
4. Bayern Munich ( Germany)
5. Inter Milan ( Italy)
6. Manchester city (England)
7. Real Madrid (Spain)
8. Napoli ( Italy)

UTABIRI WANGU

Man city vs AC Milan

Inter Milan vs Real Madrid

Bayern Munich vs Benfica

Napoli vs Chelsea

Mawazo yako ni yapi?
 
Madrid wanabebwa na vibahati uchwara tu akikutana na wababe wenzie, liva ni wabovu ndio maana kawaonea.

Tunamtaka atueleze zile goli 2 za jioni alitufunga vipi.
Anza kujiuliza kwanza alimfunga vipi Psg + Chelsea kabla ya kukufikia wewe Man City na akamalizia na Liverpool ambaye alikuwa One point behind you in EPL last season. Kwahiyo hakuna bahati uchwara waliwazidi mbinu tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom