Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Huyo PSG mwaka jana tu alicheza fainali na kikosi chake ila uzoefu na pressure iliwakwamisha japo walicheza vizuri sana na Bayern Munich alishinda kwa mbinde tunaweza sema.

Mwaka huu mambo yamekuwa tofauti na kama uzoefu basi huyo Man city tena anaweza kufa ndani nje!
Hapa tusubiri muda utaamua
 
Real madrid hua wanapandwa na mapepo ya ubingwa wakifika nusu fainali. Ukiangalia jana walicheza bila mabeki wao watatu wa kuwategemea. Sergio Ramos, Raphael Varane, Dan Carvajal. Pale katikati wana casemiro, mondrick, na Krose. Viungo wote hawa ni Seniors na wana uzoefu mkubwa sana, pamoja na kua wamechukua uefa mara nne ndani ya madrid, ila wanakua na njaa ya mafanikio vibaya mno.
Angalia jana walivyocheza, ni kama timu mbovu hivi, lakini zidane ni kocha wa matokeo, hana mpira mzuri ila...
Si sasa Liverpool pia hahikuwa vizuri.

Walikutana wote wanyonge ndio maana ukaona vile.
 
Updates

Baada ya first leg matokeo yamekuwa yakishangaza kulingana na uzi wenyewe ila amini nawaambia wengi watashangazwa zaidi baada ya 2nd leg.

1st leg.

Real Madrid 1 - 1 Chelsea
✓Pulisic
✓Benzema

PSG 1 - 2 Manchester city
✓Marquinhos
✓De Bruyne
✓Mahrez

Hakika naendelea kuona PSG bado ana nafasi ya kusonga mbele vizuri kabisa kwa mpira niliyoona jana kwa zaidi ya dakika 50 alipiga mpira mwingi sana na hata Etihad nategemea wataweza kupindua meza vyema.

Real Madrid ana nafasi ngumu japo Chelsea waliweza kupambana na kucheza mpira mwingi ila pale darajani naona watalala na viatu pia naendelea kumpa nafasi Real Madrid kuendelea mbele.
 
Huyo PSG akija etihad hataamin kitakachomkuta ..


Huyo neymar kashazoea kudeka na kulia ,atalia machozi ya damu ..


Sisi man city tunacheza mpira wa kwenye kitabu ,imagine

.zincheko

Foden

Stone

Ni madogo ambao wanakiwasha bila kupoa ...

Camoon ze cityzen
Bado nampa nafasi PSG pia amekuwa na record nzuri toka mashindano yaanze akiwa ugenini.
 
Habari.

Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba:

Leg 1.
27 April 2021 Tuesday

Paris Saint Germain Vs Manchester City


Real Madrid Vs Chelsea


Leg 2.
04 May 2021 Tuesday

Manchester City Vs Paris Saint-Germain

Chelsea Vs Real Madrid


Hapo bila kupepesa macho mpira anaocheza Paris Saint Germain dhidi ya kocha wao Pochettino umekuwa na nidhamu ya kutafuta matokeo tu hakuna kingine.

Hivyo basiasi ubishe usibishe Paris Saint Germain atakuwa Champion wa ligi ya mabingwa ulaya.

Final itachezwa 29 May 2021 Ataturk Olympics Stadium.

Final itakuwa ni Paris Saint Germain Vs Real Madrid na bingwa atakuwa Paris Saint Germain.


Updates. 29/04/2021

Baada ya first leg matokeo yamekuwa yakishangaza kulingana na uzi wenyewe ila amini nawaambia wengi watashangazwa zaidi baada ya 2nd leg.

1st leg.

Real Madrid 1 - 1 Chelsea
✓Pulisic
✓Benzema

PSG 1 - 2 Manchester city
✓Marquinhos
✓De Bruyne
✓Mahrez

Hakika naendelea kuona PSG bado ana nafasi ya kusonga mbele vizuri kabisa kwa mpira niliyoona jana kwa zaidi ya dakika 50 alipiga mpira mwingi sana na hata Etihad nategemea wataweza kupindua meza vyema.

Real Madrid ana nafasi ngumu japo Chelsea waliweza kupambana na kucheza mpira mwingi ila pale darajani naona watalala na viatu pia naendelea kumpa nafasi Real Madrid kuendelea mbele.


Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
ulikuwa unaangalia nyuma ya Tv psg alipiga mpira mwingi
 
PSG hawafurukuti zaidi wanategemea individual brilliance ya Mbappe, na ninavyomfahamu Guardiola atatafuta mfumo utakaomficha huyo Mbappe hataonekana uwanjani kama ilivyotokea kwa Haaland, nampa nafasi Man City kwenda fainali na ikitokea akafika fainali bado nampa City nafasi ya kuwa bingwa kama atakutana na Madrid, City wana ubora wa kikosi Madrid wanabebwa na historia tu.
naskia hajapiga ata shoot
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom