Utabiri: Muhongo atajiuzulu tena

Utabiri: Muhongo atajiuzulu tena

CHADEMA mlipoteza uhalali wa kuhoji masuala ya rushwa na ufisadi baada ya mwenyekiti wenu kubadilisha Gia angani na kumkabidhi bendera ya chama Lowassa ambaye kwa takriban miaka nane iliyotangulia mlituaminisha kuwa ni kielelezo cha ufisadi uliokithiri ndani ya serikali na chama alichotoka.
 
Watu wengine bhana. Eti muhongo alikuwa waziri, fedha ikachotwa kutoka wizarani kwake kwa mabilioni, hadi akajiuzulu halafu leo anajifanya hajui kilichotokea na ni msafi. Only in dar.
 
CHADEMA nilikuwa nawapenda sana kabla ya uchaguzi lkn naona mnazidi kuwa wajinga kadri siku zinavyokwenda.Hivi ni kweli CHADEMA mnapigania maslahi ya Watz au mnamtumikia mtu?So far Muhongo ameweka mikakati yake hadharani ya kuhakikisha Watz wanapata umeme wa uhakika na wa gharama nafuu,hiyo ilitosha kupata uungwaji mkono kutoka kwa Watz wote CHADEMA mkiwemo lkn wapi,mmekazana na ESCROW mkijifanya mna uchungu na nchi hii wakati baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanasemekana kushiriki ktk mgao wa ESCROW na fedha zao walichukulia Stanbic ndio maana walikataa kufichua majina ya waliochukua fedha kupitia benki hiyo. Kinachonichanganya zaidi ni uharaka wao wa kumsamehe Lowassa mtu mwenye kashfa lukuki za ufisadi huku wakiwa wazito kumsamehe Muhongo ambaye hana kashfa yoyote ya ufisadi.Hata ripoti ya akina Zitto ilishindwa kuthibitisha jinsi Muhongo alivyoshiriki ktk ufisadi wa ESCROW.
Umeme wa maji kutoka Ethiopia Ndy mkakati wenyewe?
Gas imeishia wapi, tumeambiwa Dangote amekodi majenerata jutoka China baada ya serikali kushindwa kuzalisha umeme wa kutosha tena huko Ntwara ambapo ndy gas inatoka.
 
subiri uone ,bunge hili ma ccm yatakoma
Mimi nilifikiri masuala ya Kampein yalisha pita!! Kubalini kushindwa - nyinyi hamna uwezo wa kuwajengea mizengwa Mawaziri wa Tingatinga - hizo zitabiki ni ndoto zenu za mchana.
 
Muhongo yupo pale kwa muda tu
naibu wake ata take over...

Mkuu nilitegemea utaje hata mbadala wake Na mabaya alioyafanya...Mi napenda kusikia mabaya Na sio Mazuri Kwani mabaya yana sauti Kubwa...
Usisahau kunipatia Na "kitalu cha Gas mkuu"
 
Mkuu nilitegemea utaje hata mbadala wake Na mabaya alioyafanya...Mi napenda kusikia mabaya Na sio Mazuri Kwani mabaya yana sauti Kubwa...
Usisahau kunipatia Na "kitalu cha Gas mkuu"
Tegeta kuna vitalu kweli?
 
Waambie maana kumbukumbu zao ni 0-. Who is Kubenea by the way? Watu watu ni manyumbu kweli. Kazi yao ni kutaka kuua vichwa vyote vyenye akili nchi hii. Safari hii hata mzee machache alete hela dodoma Mhongo hangoki. Msilete chuki zenu binafsi. Escrow ilikuwa ni hela zenu? Hivi mnajua hata nn maana ya Escrow. Kama hela zilikuwa za umma zilikuwa zinafanya nn kwenye escrow account. Acheni kukakaririshwa ujinga. Someni basi angalau kidogo ili muelewe maana ya Escrow.

Hivi sisi binadamu huwa hatuwezi kuwa na watu ambao hawana uadui? Yaani kila mtu ana adui kwa nini? Kuna baadhi ya wanyama ambao mimi naamini kuwa hawana maadui!
 
Utabiri:- pro.muhongo kuivusha tanzania kuwa na umeme wa uhakika na surplus ya kuuza nje. Kubenea ni mwehu
 
UTABIRI:- PRO.MUHONGO KUIVUSHA TANZANIA KUWA NA UMEME WA UHAKIKA NA SURPLUS YA KUUZA NJE. Tawireeeeeee. KUBENEA NI MWEHU
 
Umeme wa maji kutoka Ethiopia Ndy mkakati wenyewe?
Gas imeishia wapi, tumeambiwa Dangote amekodi majenerata jutoka China baada ya serikali kushindwa kuzalisha umeme wa kutosha tena huko Ntwara ambapo ndy gas inatoka.

Gas ni gharama sana kuliko umeme wa kununua kutoka Ethiopia, that's the fact.
 
Ufisadi siyo ajenda tens ktk taifa hili. Mwenye usafi wa kulisimamia kwa dhati na akaeleweka kwa umma hayupo. Chadema wenye ajenda walishajichafua na kujichanganya. Namshauri Kamanda Kubenea atafute masuala mengine ya kuongelea bunge lijalo.
Uchaguzi wa Mwaka huu umebadilisha siasa za nchi hii. Wabunge ambao hawajabadilika wataishia kuzomewa ama kuwa mabubu.
Muacheni Prof. Muhongo achape kazi.

Mh, wanaomfagilia Kubenea ni vichaa kama yeye. Kubenea hana sifa ya aina yoyote ya Ubinadamu kwani hatumii kichwa chake (kufikiri, kamua na kutenda) sifa na silka ya binadamu ambayo wanyama wengine wamekoswa.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Back
Top Bottom