Utabiri: Muhongo atajiuzulu tena

Utabiri: Muhongo atajiuzulu tena

Subiri bunge lianze, kurudi kwa Muhongo wizarani kutarejesha tena Escrow bungeni na safari hii Muhongo ataumia tena.
Tanesco imeshindwa kesi inatakiwa kulipa 320bn kwa HK Stanchart bank, Muhongo ndie boss, atafanyaje, the die is cast, the devil is lurking in the wings ti pounce! Go go Muhongo.
 
Kama ni utabiri basi huo wako wa paka maana uyo muhongo umeme wa buku5 wakaa siku 40 na jamaa yupo site kila siku kukomaa mradi uishe,yan huyu ndio anawapa faraja wa tanzania haijapata tokea,wananchi wanakobolea vijijin nafaka wanaipa thaman ukija dalali wanakutajua bei yao,
 
Watu wanakosa shukurani, Muhongo yupo very smart ila wanashindwa kumwelewa, mfano mdogo ni gharama za umeme kushuka kila anapokuwa Waziri, je hao wengine walioshindwa ndiyo wenye uzalendo au ndo hao wakuwatafuta watwambie Tanesco imeingiaje kwenye mitego ya kifisadi,

Tunamshukuru kwa kushusha gharama za umeme (kama kweli yeye ndiye anayepanga au determine bei). Swali linabaki: unakumbuka alichokisema wakati mjadala wa suala la Escrow umepamba moto? Ni nini maoni yako kuhusu hukumu iliyotolewa sasa re: Standard Chartered Hong Kong vs. TANESCO? Je Singasinga aliyelipwa na kina Muhongo ndiye mmiliki halali wa IPTL? Unaweza kunisaidia gharama kwa TANESCO za kuendesha hiyo kesi? Unamjua aliyezilipa? Kwa kutumia kigezo cha 'uzalendo', unafikiri Prof. Muhongo anapaswa kuchukua hatua gani sasa? Au hili sakata ni la TANESCO na yeye hahusiki?
 
Kweli watu wengi mna vichwa vya wenda wazimu, Muhongo ni kati ya vichwa vichache TZ vinavyoumiza wasio jali maslahi ya Taifa.Kubenea ataanzia wapi kama alithubutu kumwandama Mamnvi kwa ufisadi kwa muda wa miaka 7 Leo huyo huyo anamsafisha.Ajenda ya ufisadi upinzani hawiwezi tena!!

Walisema pale hapakuwa na hela ya serikali. Sasa wenyewe wanakuja kuzichukua na hazipo. Natamani kuwaroga waapoteee njia pesa ndefu sana hiyo tusijeshindwa elimu bure
 
..wakati wanazikwapua walikomaa kusema pesa si za serikali...sasa watakuja watuambie hilo deni watalipa na pesa gani...maana escrow account ilifungwa baada ya ukwapuzi wa hela....Muhongo ana hoja nzito ya kujibu bungeni....maana ndie alikuwa waziri wa nishati kipindi hela zinachotwa...na sasa ndie waziri tena..
 
MIMI SI MCHOCHEZI, NASEMA WAZIWAZI KABISA. LAKINI HILI LA TANESCO KUPIGWA TENA NIMEHISI DAMU IMESIMAMA PIA NIMETETEMEKA. HIVI TANESCO TU? BILION 400+ ESCROW, SASA 320bn UUUUWIIIII NAKUFA MIMI. MAHAKAMA YA MAFISADI ANZIENI HAPO. NO STONE WILL BE BE LEFT UNTOUCHED, PERIOD.
 
Kweli watu wengi mna vichwa vya wenda wazimu, Muhongo ni kati ya vichwa vichache TZ vinavyoumiza wasio jali maslahi ya Taifa.Kubenea ataanzia wapi kama alithubutu kumwandama Mamnvi kwa ufisadi kwa muda wa miaka 7 Leo huyo huyo anamsafisha.Ajenda ya ufisadi upinzani hawiwezi tena!!
Kwa hiyo maneno yako yanakubali kuwa Muhongo amefanya ufisadi?
 
Kama ni utabiri basi huo wako wa paka maana uyo muhongo umeme wa buku5 wakaa siku 40 na jamaa yupo site kila siku kukomaa mradi uishe,yan huyu ndio anawapa faraja wa tanzania haijapata tokea,wananchi wanakobolea vijijin nafaka wanaipa thaman ukija dalali wanakutajua bei yao,
Ahaaa
 
Back
Top Bottom