Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
wabongo wagumu mno kuelewa,mlishaambiwa escrow hazikuwa pesa za umma,Watu wengine bhana. Eti muhongo alikuwa waziri, fedha ikachotwa kutoka wizarani kwake kwa mabilioni, hadi akajiuzulu halafu leo anajifanya hajui kilichotokea na ni msafi. Only in dar.
muhongo aliondoka kwa majungu tu ya mengi,wenye dhamana ya nchi walisema wazi escrow hazikua pesa za umma