TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Job Ndugai anahasira sana na Walioshiriki kwenye Escrow maana alivyokuwa anasimamia bunge ili wa liochukua fedha kwa sandarusi wajulikane. Bi kiroboto akamtuma aende ughaibuni kurudi sakata la escrow limeisha. Safari hii atalisimamia na bila shaka yeyote wote waliochukua fedha watajulikana na kuadabishwa.
Wakitajwa hao wa sandarusi unadhani viongozi wa Upinzani nao watasalimika?