UTABIRI: Mrisho Gambo kuingia kwenye baraza la Mawaziri

Mleta mada utakuwa umevuta bangi.
Gambo kwa sasa ajipange tu kwenda kulima (maana ana mashamba mikoa fulani, nami aliwahi kunichongea dili la kupata shamba japokuwa sikufanikiwa, maana sikuwa kada wa CCM). Huko atatoboa fresh.

Issue za siasa kwa sasa aachane nazo, alishaharibu kwa jiwe na huku uraiani watu wengi wana visasi naye. (Akumbuke tu ile siku alipofiwa na mama yake au siku aliyotumbuliwa uRC namna watu wa Arusha walivyofurahi, kushangilia, kunywa na kulewa)

Kundi linalomchukia zaidi ni makada wa CCM wakiongozwa na UVCCM Arusha. Gambo kwa Arusha anachukiwa kuliko Corona.
 
Mrisho bwana,naona umeanza kujipigia kampeni za Uwaziri..Ah Gambo uko mbali vuka kwanza kiunzi cha Ubunge kilichombele yako ni kizito mno kwa character yako.
hiyo ndo akili yako imekutuma mm ni Gambo, Huu ni utabiri tu usipaniki Mkuu

#Tukutane siku Rais akitangaza baraza la mawaziri.
 
Utabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni funzo kubwa sana kwa nafasi kubwa atakazo kujua kuzipata. Namtabiria kwa serikali inayokuja ataingia kwenye baraza la mawaziri kama Waziri kamili au Naibu waziri.

ndoto hizii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni funzo kubwa sana kwa nafasi kubwa atakazo kujua kuzipata. Namtabiria kwa serikali inayokuja ataingia kwenye baraza la mawaziri kama Waziri kamili au Naibu waziri.

#Tukutane siku Rais akitangaza baraza la mawaziri.
 
Attachments

  • VID-20200619-WA0091.mp4
    1.2 MB
Utabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni funzo kubwa sana kwa nafasi kubwa atakazo kujua kuzipata. Namtabiria kwa serikali inayokuja ataingia kwenye baraza la mawaziri kama Waziri kamili au Naibu waziri.

#Tukutane siku Rais akitangaza baraza la mawaziri.
Gambo amekutuma kumuombea uwazr?
 
Mleta mada utakuwa umevuta bangi.
Gambo kwa sasa ajipange tu kwenda kulima (maana ana mashamba mikoa fulani, nami aliwahi kunichongea dili la kupata shamba japokuwa sikufanikiwa, maana sikuwa kada wa CCM). Huko atatoboa fresh.

Issue za siasa kwa sasa aachane nazo, alishaharibu kwa jiwe na huku uraiani watu wengi wana visasi naye. (Akumbuke tu ile siku alipofiwa na mama yake au siku aliyotumbuliwa uRC namna watu wa Arusha walivyofurahi, kushangilia, kunywa na kulewa)

Kundi linalomchukia zaidi ni makada wa CCM wakiongozwa na UVCCM Arusha. Gambo kwa Arusha anachukiwa kuliko Corona.

Kisiasa Kwa ccm Mrisho bado anakubalika nadhan majibu umeyapata ameongoza kura za maoni.

punguza chuki binafsi za kukosa mashamba sijui ulitaka kulima bangi?
 
ameacha alama gani zaidi ya kugawa watu kidini? akitumia mwavuli huo ili waislamu wampe kura? tena kwa ushahidi wa mkuu wa nchi kupitia msikiti wa bondeni?

Amefanya nini zaidi ya chuki binafsi dhidi ya watendaji wasio na sigda kwenye uso?
Amefanya nini kulinganisha na Anna mghwira, Shigella , na wengine ?
Wwewe umetumwa uje kumuimbia pambio weakati kishatumbuliwa?
Muongo mkubwa wewe!!! Udini udini udini, kawagawa wapi we muongo???
 
Huyo wanamkata.. ubunge hapati na mwaka huu wakikukata ukachepuka wanabomoa hadi nyumba zako

Back
Top Bottom