Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Mkuu hukunielewa nimemaanisha kuwa Gambo hakuna mema yoyote aliyo yafanya kwetu wana wa Arusha.
mema gani hayo zaidi ya kurudia rudia tu kusema mema memaa , alaa!
Wana Arusha wanakumbuka alimlaza LEMA CHRISTMAS HUKU WATOTO wa lema wakila sikukuu bila baba yao wakati yeye Gmbo akilala mount meru na familia yake, hilo ndio jema linalokumbukwa