UTABIRI: Mrisho Gambo kuingia kwenye baraza la Mawaziri

Haaa!
Inamaana alichokisema mwenyekiti,polepole na Bashiru hujakielewa mkuu? Na leo wameongea tena!

JESUS IS LORD
Muda ni kitu kizur sana, tusubiri tutaona matokea, ila bora yake yeye ameshinda kura za maoni tena kwa kishindo kikubwa!!!

Wenzake wengi wameangua pua kwenye kura za maoni.
 
Muongo mkubwa wewe!!! Udini udini udini, kawagawa wapi we muongo???

Wewe unaishi kwa shemeji na mkate wa kila siku uanpata kupitia mali za wananchi zilizoporwa na kuitwa za CCM.

MAGUFULI kwa kinywa chake alisema " amemuondoa Gambo kutokana na kutoelewana na wenzake , yaani mkurugenzi na DC wake, na akasema alitaka kuwapa WAISLAMU uwanja wa wazi pale msikiti wa bondeni pamoja/akijua kwamba kuanzia Mwinyi, mkapa na kikwete walikataa wakasema lile ni eneo la wazi! WEWE huna akili, ni mpumbavu maana unabishana na facts, ingia kwenye nyuzi za humu jf usome sababu za JPM kumla kichwa Gambo, mtu mdini hawezi pewa lile jimbo la Arusha, never
 
WEWE huna akili, ni mpumbavu
Wewe ndo Lema??

Mjinga kabisa wewe, hao unaosema amewagawa ndio wamempa Kura za awali, Bado mafuriko yanakuja mwana kujinyea wewe!!!

Mtu mjinga akikosa kitu cha kukosoa, hulazimisha ujinga wake uwe sehemu ya werevu!! Kima wewe!!

Usiwekeze kwenye ujinga na majungu yasisiosaidia chochote!!! Koma wewe!!
 
Utabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni funzo kubwa sana kwa nafasi kubwa atakazo kujua kuzipata. Namtabiria kwa serikali inayokuja ataingia kwenye baraza la mawaziri kama Waziri kamili au Naibu waziri.

#Tukutane siku Rais akitangaza baraza la mawaziri.
Hamshindi Lema huyu!
 
Si mpaka ashinde sasa
 
Kusimamia ujenzi wa Barabara Arusha, mitaa mingi ya Arusha now ina barabara za lami
Kusimamia mpango wa stand mpya ya Arusha kujengwa kutoka na plan
Ujenzi wa Shule ya Sekondari (Mrisho Gambo Secondary School)
Kusimamia ujenzi wa madarasa na nyumba za maaskari
Kusaidia wafanyabiashara wadogo wadogo bodaboda, wamama wauza sokoni ...etc....
Kusimamia ujenzi hospitali za wilaya.
Project kubwa ya Maji Arusha.

Mambo mengi amefanya watu wa Arusha wataendelea kuyataja.
Hivi mirembe huna file kweli wewe?
Huyu ni kivuruge, akienda mahali lazima mvurugano uwepo!
Ana pepo la utenganisho badala ya malaika wa kuunganisha.
Chunguzeni historia yake
 
Wewe unaishi kwa shemeji na mkate wa kila siku uanpata kupitia mali za wananchi zilizoporwa na kuitwa za CCM.

MAGUFULI kwa kinywa chake alisema " amemuondoa Gambo kutokana na kutoelewana na wenzake , yaani mkurugenzi na DC wake, na akasema alitaka kuwapa WAISLAMU uwanja wa wazi pale msikiti wa bondeni pamoja/akijua kwamba kuanzia Mwinyi, mkapa na kikwete walikataa wakasema lile ni eneo la wazi! WEWE huna akili, ni mpumbavu maana unabishana na facts, ingia kwenye nyuzi za humu jf usome sababu za JPM kumla kichwa Gambo, mtu mdini hawezi pewa lile jimbo la Arusha, never
FACT.
 
Wewe ndo Lema??

Mjinga kabisa wewe, hao unaosema amewagawa ndio wamempa Kura za awali, Bado mafuriko yanakuja mwana kujinyea wewe!!!

Mtu mjinga akikosa kitu cha kukosoa, hulazimisha ujinga wake uwe sehemu ya werevu!! Kima wewe!!

Usiwekeze kwenye ujinga na majungu yasisiosaidia chochote!!! Koma wewe!!
Rilaxx eroo shida nini, mmeutaka huu muziki wenyewe, kazi kwenu kuucheza, yaani kama namuona Gambo siku ya kutangaza mshindi alivyopauka ile midomo..
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom