Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 373,337
- 864,947
- Thread starter
- #21
Hapa sasa nakubaliana nawe kwa asilimia zote tarot si kitu kizuri kwa waamini lakini tukumbuke kuwa inabidi tuambizane kila jambo kwa uzuri ama kwa ubaya wakemshana jr sikumaanisha kwamba maelezo yako ni batili, nilichokusudia kueleza ni kwamba tarot card iko kinyume na mpango wa Mungu. Kwa hivyo hiyo tuseme inawahusu wasio muamini Mungu. Mungu anasema, tusijisumbue kuhusu kesho, tuiache ijisumbukie yenyewe tu. Ni kweli hiyo kitu ipo, na ina maandiko mengi tu kuielezea, lakini iko kinyume na Mungu.