alma gemela
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 842
- 280
Uwiiii nimejaribu karata 6
moja inasema all i need devil nimetoka nduki khaa shetani tena
moja inasema all i need devil nimetoka nduki khaa shetani tena
Madhara yake?Na ndio maana nikasema tarot is the most correct katika uga mzima wa utabiri ila jitahidi sana isikuzoee
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mshana Jr we ni noma
Nimeenda Google na nimecheza kadi sita at random just once
Maelezo niliyopata from those cards ni kweli tupu,
Ila Inahitaji utulivu wakati wa kuzisoma coz lugha ni kidhungu na sisi ni wa waswahili, ili Kupata uelewa mzuri na kumatch na ya kwako
Big up Mshana Jr again
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mi huwa kila ninapoangalia inaniletea majibu mazuri mazuri yenye kuvutia...nimesoma mpaka napata raha tabiri ya wiki kwa wiki inaleta mulemule...sijui ndio navuuutwa nikianza kuamini tu nitandikwe, nadhani moja ni kuamini kwani katika maisha yangu huwa ninaamini nimezaliwa na kitu cha kipekee...
Nilisimuliwa na mama yangu nikiwa mtoto mchanga nilikosa kuuliwa na wachawi mara tatu kijijini kwetu Rombo Kilimanjaro, matukio mengi niliyopitia kwenye nguvu za Giza nilijidumbukiza kwenye waganga mbalimbali na wote walikuwa wakinitazama wananiambia maneno yanayofanana kuhusu kuzaliwa na nyota Kali sana...ila namshukuru Mungu 2014 nilichoropoka kwenye imani hizo za giza na kumrudia Mungu wangu
No wanda aisee Mshana jr ...hata nami nimejiTOMASO fastaa Google...majibu matamuu[emoji39] [emoji39] aiseee ila kwa vile nimeshuhudia basi sasa kilanga komo siendi tena nisijekutana na bad nyuzi buree.Tarot ni nguvu ya kuzimu inakupa kitu sahihi
Mi nataka nijifunze jinsi ya kutabiri ili nami niwape kadi wachague niwatabirie. Hii ni bonge la fursa atiii.Kama umeiweza hii kajaribu na cartomancy readings View attachment 336799View attachment 336800kisha linganisha na tarot
Cartomancy ina jumla ya karata 52 zilizogawika kwenye mafungu manne ambayo kila fungu moja huwakilisha msimu mmoja wa mwaka na ukizidisha mara nne unapata majira ya mwaka mzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uwiiii nimejaribu karata 6
moja inasema all i need devil nimetoka nduki khaa shetani tena
ujue twatofautiana aisee,, mfano ; u namwambia watoto acha kuchimba udongo shaurlako atatokea bibi matongotongo atataka umlambe matongotongo...hapo mtoto mwoga ataacha kweli mwingine atajibu ndio nataka nimuone huyo bibi matongotongo[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ....same applies to tarot card reading.Kama wewe ni mshika dini tarot inapingana na mafundisho ya dini
Una laptop? Ni rahisi sana..unga laptop yako na Internet kisha mteja akija mchezeshe halafu msomee majibu yake...No wanda aisee Mshana jr ...hata nami nimejiTOMASO fastaa Google...majibu matamuu[emoji39] [emoji39] aiseee ila kwa vile nimeshuhudia basi sasa kilanga komo siendi tena nisijekutana na bad nyuzi buree.
pouwaaaaa wacha nisake kichwa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] asante kakaUna laptop? Ni rahisi sana..unga laptop yako na Internet kisha mteja akija mchezeshe halafu msomee majibu yake...
Utapata commission manta hofu[emoji1]Nitakuchaji consultation fee lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kudadadeki...mshana umeuaKiaina inaendana, kuna miaka nilikuwa nafatilia sana nyota na kwakuwa nimezaliwa nyota ya ng'e nikawa mfuatiliaji mzuri...kinachonitatiza kwenye haya mambo tangu nipo gizani mpaka leo kila ninachokisoma kuhusu Mimi ni cha kweli yaani kilishawahi tokea au kitatokea...pia sikuwa nikiamini Alama ya M kiganjani na ninayo mikono yote na kila kilichoandikwa kuhusu alama hizo inarandana namie
Kuwa makini sana wewe ni malighafi moja muhimu sana kwenye mambo ya kiza
Mkuu nimepita kote kote yaani kwenye TAROTS na hizi karata 52 majibu yanafanana na kilichoelezwa ni kweli kama ninavyoishi na ninavyokaza kutafuta pesa,ila sirudii tena maana si mchezoJaribu
Eeeee,hebu funguka zaidiKuwa makini sana wewe ni malighafi moja muhimu sana kwenye mambo ya kiza
Acha woga ujue ukweli wa maisha yakoMi sitaki ata kuangalia mi na mungu tu maishani
Mkuu tupe feedbacknaweza itumia hii kubetia??