Utabiri kwa kutumia karata za tarot

Utabiri kwa kutumia karata za tarot

Huu ni ushetani!!! Cheki picha, kichwa na alama ya satanic star
Haya majibu niliyopata nimeogopa
55aaea2e39c0a730fee3c6b2c1bc355d.jpg
62490f80412deefb97f9cb4b9c571680.jpg
 
Nenda Google kisha click free tarot card readings , zikishakuja utaona kitufye cha click to start. utaclik kadi sita kisha zitakupa majibu
Mshana Jr we ni noma

Nimeenda Google na nimecheza kadi sita at random just once

Maelezo niliyopata from those cards ni kweli tupu,

Ila Inahitaji utulivu wakati wa kuzisoma coz lugha ni kidhungu na sisi ni wa waswahili, ili Kupata uelewa mzuri na kumatch na ya kwako

Big up Mshana Jr again
 
Mi huwa kila ninapoangalia inaniletea majibu mazuri mazuri yenye kuvutia...nimesoma mpaka napata raha tabiri ya wiki kwa wiki inaleta mulemule...sijui ndio navuuutwa nikianza kuamini tu nitandikwe, nadhani moja ni kuamini kwani katika maisha yangu huwa ninaamini nimezaliwa na kitu cha kipekee...
Nilisimuliwa na mama yangu nikiwa mtoto mchanga nilikosa kuuliwa na wachawi mara tatu kijijini kwetu Rombo Kilimanjaro, matukio mengi niliyopitia kwenye nguvu za Giza nilijidumbukiza kwenye waganga mbalimbali na wote walikuwa wakinitazama wananiambia maneno yanayofanana kuhusu kuzaliwa na nyota Kali sana...ila namshukuru Mungu 2014 nilichoropoka kwenye imani hizo za giza na kumrudia Mungu wangu
 
Usiyazoee hayo mkuu, badala ya kumshukuru Muumba wako utashukuru karata
 
Umebarikiwa. ..
 
Walinitabiria kwa mwaka mzima yaani kuanzia hiyo tarehe nilianza kupata matokea siku ya pili tena nilikwisha sahau, maana walianiambia kabla ya siku saba nitapoteza kazi na nitakuwa na wakati ngumu sana kwa kipindi cha robo tatu ya mwaka ilikuwa hiyo
Wakina Nani waliokutabiria hivyo mkuu na ikawa kweli?
Ilikuwa hivyo na nilikuwa sijui kama ni vibaya baada ya kuambiwa ni mbaya kwa kweli nimeacha
Watu gani hao mkuu?
Tatizo waliniambia nitume tatu tu
Ni wakina Nani waliosema utume tatu tu
Ukiweka full story ilivyokuwa itasaidia wengi mkuu
 
Usiyazoee hayo mkuu, badala ya kumshukuru Muumba wako utashukuru karata
Thanks kwa ushauri

But, mimi huwa naamini mungu alishaumba akamaliza, haya ya duniani sasa ni sisi wenyewe na tunavyopambana na asili yetu tuliyokwisha andaliwa ndani yake.

Ndio maana hatuendi msikitini/kanisani kuomba ubwabwa na tukakaa kusubiri sinia ya pilau nyama ishuke , you pray and go out to fight for...

So hata hizi tabiri, zinakupa yale uliyopangiwa kupitia/Kupata, whether machungu au matamu.
 
Halafu hutafanya kitu bila kuchungulia karata
Not bad Mshana Jr, ni kama kuwa na mpelelezi kwenye issues zako

Tatizo nn, coz inakusaidia kuondoka na matatizo yasiyo na msingi

Tunachohitaji kama binadamu ni mambo mazuri na sio matatizo, na hii kitu itasaidia kukutoa kwenye matatizo yasiyo ya msingi

Sema tu ni vema kuwa na utaratibu wa kufanya hii kitu, should not be daily
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom