Utabiri: Bingwa wa Uefa Champions League msimu huu atakuwa Man City

Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu.

Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1

Kisha mechi ya marudiano Etihad, Man City ataibuka na ushindi wa goli 2-0. Na kujikatia tiketi ya fainali ambapo atakutana na mchovu mmoja wapo kati ya Inter Milan au Ac Milan.

Mwaka huu Guardiola anatwaa UCL kwa mara ya kwanza bila Messi.
Leo mechi itaisha kwa Real Madrid 0-2 Man city

Second leg
Man city 5-1 Real Madrid
 
Aaah wapi.

City anatisha asikudanganye mtu.

Ile mechi yake na Bayern ndio ilikuwa mechi ngumu.

Kwa sasa madrid wameshuka sana viwango.

Kumtoa city ambao wamekamilika kila idara si kazi ndogo.
Hiyo mechi ya bayern uliangalia au ulisimuliwa?

Unaizungumzia bayern ya tuchel au ya nigelsman?

Unajua wanachopitia bayern baada ya kubadilisha kocha?

City hiyo mechi alipita kirahisi sana, bayern ya tuchel ilikua nyepesi kuliko nottingam forest, city angekutana na bayern ya nigelsman ningekuelewa
 
City mechi ya Bayern kapita kirahisi?

Kabisa unaona City kapita kirahisi!

Na madrid alopita kwa team mbovu kabisa ya Chelsea tusemaje,kateleza tu au kamsukuma mlevi?

Bayern japo katolewa na City ile mechi haikuwa rahisi hata kidogo.

Bayern anakosa clinical finishers tu ila mbungi yake aloipiga hasa Etihad kila mtu aliiona.

Leo madrid kazi anayo jiandae kisaikolojia tu.
 
Leo mechi itaisha kwa Real Madrid 0-2 Man city

Second leg
Man city 5-1 Real Madrid
5E0F48D7-1578-49B2-8A28-1538999255BF.jpeg
 
Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu.

Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1

Kisha mechi ya marudiano Etihad, Man City ataibuka na ushindi wa goli 2-0. Na kujikatia tiketi ya fainali ambapo atakutana na mchovu mmoja wapo kati ya Inter Milan au Ac Milan.

Mwaka huu Guardiola anatwaa UCL kwa mara ya kwanza bila Messi.
Hizi tabiri zitolewe kabla hatujafika mbali huku.
 
Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu.

Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1

Kisha mechi ya marudiano Etihad, Man City ataibuka na ushindi wa goli 2-0. Na kujikatia tiketi ya fainali ambapo atakutana na mchovu mmoja wapo kati ya Inter Milan au Ac Milan.

Mwaka huu Guardiola anatwaa UCL kwa mara ya kwanza bila Messi.
Madrid anaenda kuchukua ndoo, kinyume na unachodhani na kuchukua poa.

Kichaa na mwehu, asiye na akili ndiye anaweza kusema Madrid Ni wachovu.
 
Back
Top Bottom