Utabiri: Bingwa wa Uefa Champions League msimu huu atakuwa Man City

Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu.

Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1

Kisha mechi ya marudiano Etihad, Man City ataibuka na ushindi wa goli 2-0. Na kujikatia tiketi ya fainali ambapo atakutana na mchovu mmoja wapo kati ya Inter Milan au Ac Milan.

Mwaka huu Guardiola anatwaa UCL kwa mara ya kwanza bila Messi.
Aisee mechi ijayo nabet correct score
city 2 mandrinda 0

Jana nilitaka nibet correct score 1-1 nikaogopa nikaweka GG..
Asante sana Mleta uzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom