Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,674
- 29,875
- Thread starter
- #21
Mkuu umeongea kwa uzito mkubwa sana.Wapo na wataendelea kuwepo, mtaji wao mkubwa ni wananchi. Wapinzani wa Tanzania wana roho mbaya na hawako tayari kusaidia yoyote zaidi ya maisha yao. CCM ni bora kuliko wapinzani, siku wakija chukua nchi ndio mutaona makucha yao. Au tunadhania kukaa jela ni kwa ajili yetu sisi? Mbona sasa hivi hakuna hata anayetoka kuongelea mambo yanayotokea, wakati nyuma walikuwa hawalali asubuhi na usiku wanalalamika wakati nyuma maisha yanajulikana yalivyokuwa tofauti na sasa.
Upinzani upo isipokuwa lazima tuamini hakuna mpinzani mwenye nia njema na nchi hasa wananchi wenye kipato kidogo ambao hata wanyang'anywe hawawezi kuleta madhara yoyote.
Kugombea nchi si kwa ajili ya kuijenga, badala yake ni kwa ajili ya kujenga miradi na maisha yao binafsi. Kama mtu ni wa kwanza kupinga miundombinu kujengwa akidanganya wananchi kwamba hautokula barabara, wakati anajua fika barabara ni moja ya kuendeleza uchumi, basi huyo hafai hata kuwa diwani.
Je hauoni kama vile kuna upinzani wa kweli behind unakuja kwa kasi kubwa? CCM inaenda kushangazwa