ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
mwanangu unasemaje ? au unataka nimwambie mama yako Lady doctor mambo unayoyaongea hapa
wewe humjui baba yako ntuzu; nitakuchapa bakora nitakucharaza ujue ngoja urudi toka uko shuleni utanitambua leo kilichomtoa kanga manyoya ni nini? mwana usiambilike wewe

huyo alishaachwa bhana
Last edited by a moderator: