Uswazi women WWE competition

Uswazi women WWE competition

sijampindua
mm ndo mkewe wa kwanza hao wengine ni vibazazi wake wa pembeni Ntuzu ametambua kosa lake ameona ajirudi kwa ladyf
Pole sana mamaa!
ladyfurahia ndo kakupindua au wewe ndiye ulimpindua then akarudisha koloni lake?

Who is who here?
 
Last edited by a moderator:
sijampindua
mm ndo mkewe wa kwanza hao wengine ni vibazazi wake wa pembeni Ntuzu ametambua kosa lake ameona ajirudi kwa ladyf

Usijisifie nimeamua tu kukuachia...umemuona Ntuzu ametia neno kwenye hizi harakati zako? Kwa taarifa yako hapa hakohoi....tena nakuachia uneng'eneke siku hizi mbili tatau baada ya hapo anarudi hapa kwenye makazi yake ya kudumu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaa
Huyo wa juu hiyo ni bukta au!!
Hivi vitu vinafurahishaga
 
Laiti ungejua ..........................? ni kama usiku wa giza hahahahahahaaaaaaaaaaaaa
acha nifurahi mie ninenepeee
Usijisifie nimeamua tu kukuachia...umemuona Ntuzu ametia neno kwenye hizi harakati zako? Kwa taarifa yako hapa hakohoi....tena nakuachia uneng'eneke siku hizi mbili tatau baada ya hapo anarudi hapa kwenye makazi yake ya kudumu
 
Laiti ungejua ..........................? ni kama usiku wa giza hahahahahahaaaaaaaaaaaaa
acha nifurahi mie ninenepeee

Hahaaa hamna cha usiku wa giza wala wa mbalamwezi hapa....kubali we ulikuwa kimada mi tukafunga ndoa na Mungu katujalia watoto wawili....sasa wewe mtoto mkubwa hadi kaolewa we eti ndo unalazimishia baba....siku zote ulikuwa wapi kumuonyesha baba yake?
 
YULE MTOTO NI WA Lady doctor ujue ndo mana nimesema usiku wa kiza wewe hujui

kwaheriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hahaaa hamna cha usiku wa giza wala wa mbalamwezi hapa....kubali we ulikuwa kimada mi tukafunga ndoa na Mungu katujalia watoto wawili....sasa wewe mtoto mkubwa hadi kaolewa we eti ndo unalazimishia baba....siku zote ulikuwa wapi kumuonyesha baba yake?
 
Last edited by a moderator:
Kama kuchepuka mbona huwa anachepuka sana tu mi sina tatizo ila safari hii nimeambiwa eti mi najishaua na mume wa mtu wakati mkewe wa ndoa yupo...that means mimi ni mchepuko...wii hivi siku shem akisema wewe ni mchepuko utaendelea kujitoa ufahamu kwamba wewe ni mrs Mentor

Shem Khantwe hapa nimeingiaje!??
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
SIKIA WEWE

LADY DOCTOR NI MAMA YAKE NA AMEZAA NA ARUSHAONE

MM NI MAMA YAKE MKUBWA KWANI NINA UNDUGU NA LADYDOCTOR[
Ntuzu SIO KAKA YAKE NI BABA YAKE MKUBWA HIVYO MSIBADILISHE UKOO
WAKATI UKOO WA watu8 UNAJULIKANA NA NYIE MILIKUJA KWETU
KUOMBA UMILIKI WA WATOTO WAKE ACHENI KUJIONDOA UFAHAMU
huyu miss neddy mbona anabadilisha wazazi hivi kila leo?

mimi kipindi namuoa enzi zile za ujana wangu nilipokuwa mume wake, mzazi niliyetambulishwa kwake ni mama Lady doctor, baba akiwa Arushaone, kaka yake akiwa Ntuzu na dadaye miss N akiwa mwallu..

sasa naona mambo yamebadilika...

cc ladyfurahia
 
SIKIA WEWE

LADY DOCTOR NI MAMA YAKE NA AMEZAA NA ARUSHAONE

MM NI MAMA YAKE MKUBWA KWANI NINA UNDUGU NA LADYDOCTOR[
Ntuzu SIO KAKA YAKE NI BABA YAKE MKUBWA HIVYO MSIBADILISHE UKOO
WAKATI UKOO WA watu8 UNAJULIKANA NA NYIE MILIKUJA KWETU
KUOMBA UMILIKI WA WATOTO WAKE ACHENI KUJIONDOA UFAHAMU

Ahaaa kwa hiyo suala linarudi palepale kwa miss neddy amuite kaka yake baba kwa ajili ya wewe....hakunaga hiyo kitu we mwanamke futa kauli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom