Uswazi women WWE competition

Uswazi women WWE competition

hapana kaka nilikuwa natania tu nini shida? naona wake zako wote wawili utata mtupu

Kumbe na wewe unajua kuwa kaka yako ana mke mwingine... miss neddy we ndo wa kunifanyia hivi kweli?
 
Last edited by a moderator:
Siwaelewi mjue? Mbona kuna zogo sn?
Yaani mwenzio kuchepuka kidogo tu umefungasha na virago. ...mbona we ulikua unachepuka saaaanaaaa na yupo tu? Au limbwata limeisha makali?
huyo alishaachwa bhana

Unakumbuka tukivurumushwa kwa kaka na huyo wii mwingine? Sitasahau mwiko alotaka kumchapa nao kaka asee...halafu Honey Faith. ..kaka yetu anazinduka tuu wala hamtendi kiviiile....ni kidogo tu.. Ntuzu oyeeee
 
Last edited by a moderator:
Kama kasusaaa nipe mieee kasusaa nipe mieeee. .......Mzee yusuph bana nyimbo zake nyingine zinafurahisha sana
 
Back
Top Bottom