Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,101
- 127,850
Wanaume wabaya jamani kwa mapenzi yale na umeachwa kweli kazi ipo.
Mapenzi motomoto yote yale yameyeyuka
Wanaume wabaya jamani kwa mapenzi yale na umeachwa kweli kazi ipo.
Mapenzi motomoto yote yale yameyeyuka
Mmmmmmmh Sema unataka tu kuchepuka! Yani unatangaza kuachika basi Toa picha zetu za harusi kwenye Avatar yako!
Honey Faith sema MWANAUME....usiseme wanaume....Wanaume wabaya jamani kwa mapenzi yale na umeachwa kweli kazi ipo.
Unaikumbuka hii?View attachment 190771
Khaaa sio wewe siku ile mkasaidiana kunichamba eti naneng'eneka wakati mama mwenye nyumba yupo
Nina mganga wangu utakubali nikuunganishe naye?
mhm! yatakushinda mkuu kuingilia ingilia
mtamaliza waganga wote wala hamtapata dawa yoyote
dawa iko kwenye dua tu na sii vinginevyo Ntuzu kasharudi kwangu
ametambua umuhimu wangu na amejifunza hatarudia kuchepukika
Hee kumbe ni wewe swaiba basi mama hutanisikia tena pande hii takaa kimya tu