Uswazi women WWE competition

Uswazi women WWE competition

Kwa nini uliniunganisha na kaka yako wakati unajua ana mke?

uwiiiiiii twende chemba wifi tusimwage mtama kumbe uko serious sijui kaka yangu Ntuzu ana hali gani uko aliko
 
Last edited by a moderator:

Hahaaa sasa we ulijua natania wakati mi nauguza kidonda cha kuachwa u can' t be siriaz
 
mi nilijua unatani wifi yangu pamoja na ubabe wako wote tunakupenda sana pls rudisha moyo nyuma
 
Alianzaje? Hebu kuwa wazi tupate namna ya kuunda kesi hapa...
You are no longer <18!

Sasa ukianza kuangalia makosa hakuna malaika hapa...tulikuwa tunakosana na kusameheana
 
Kaanza yeye lol

Hebu Lete ushahidi mama mchungaji wp nilipokuanza?

Excel mbona humu naona Kumekua na vurugu sn? Maana naona natafutwa kweli Mara sijui nimeacha mke nimeenda Kwa mke mwingine!

Mimi mke wangu ni Khantwe tu! Tumekuja Wote mjini na Gari la mbao! Sasa yeye km kampata mshefa mwingine aseme aiseeee!
 
Aiseee bahati mbaya siwezi kuweka link
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom