BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Ungekuwa kwetu lazima mziki ungekushinda tu!!!
Wee nawe ufuatilie mbebz kwani ulishapevuka
Sema ulikuwa unabahashia tuu
mwaka mmoja mkubwa hivyo?? mi nimeanza nkiwa na siku moja tu...
Dah umenikumbusha mbali sana
Ila uzuri wa sisi ma-lastborn tunatengewa chetu naana hatuweI spidi ya wakubwa
Ole wangu niende ugenini laZima nirudi njaa inauma, chezea spidi ya kwenye sinia wewe
Walikua wachovu hao!!!!!!
Kunguru wakawafanya muwe mnakula nyama kwanzaDah! Kweli kbs, binafsi niliacha hii tabia, nilipokuwaga COET, ulikuwa ukikaa kwa bwashee ukiagiza kuku au nyama anatokea kunguru juu ya mti analenga sahani yako, na inabidi msosi uishie hapo kwa siku hiyo! Ndo tukaja na staili unakula kwanza kuku nyama au samaki wako then ndo unakula wali, incase kunguru akija unakuwa umeshakula cha thamani zaidi!
Aisee uswazi kuna raha yake
mie nakula nyama zote kwanza. isije ikatokea imejensi nyama zangu nikaziacha bure.
mie nakula nyama zote kwanza. isije ikatokea imejensi nyama zangu nikaziacha bure.
hahahahaha heri yako wewe mimi nimeanza kula mwenyewe na mwaka mmoja tu
ila mwanangu nahisi nitamlea kiyai yai
Vipi,wewe ukiwa kwenye msosi unaousisha kitoweo kama kuku,au nyama ya ng'ombe unaacha vile vi finyango hadi mwishoni au unakula bila kuzingatia kuwa kuna finyango?
Hebu tukumbuke kidogo na tufurahi na kucheka hizi enzi zetu za uswazi!!!!!!