Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Aaa mie nilikuwa nikilishwa hadi namaliza shule ya msingi!
![]()
hahahahaha heri yako wewe mimi nimeanza kula mwenyewe na mwaka mmoja tu
ila mwanangu nahisi nitamlea kiyai yai
Aaa mie nilikuwa nikilishwa hadi namaliza shule ya msingi!
![]()
Hawa malengo yao kushiba au kujiua?
Mi nilikuwa mtaalamu wa kwenda kula ubwabwa kwenye Maulid za watu mtaani.
.
With pleasure !! I sayeee rahaa sana kulisha au kulishwa tena tabiya hiyo hujenga ukaribu zaidi baina yenu !!hahahahaha heri yako wewe mimi nimeanza kula mwenyewe na mwaka mmoja tu
ila mwanangu nahisi nitamlea kiyai yai
With pleasure !! I sayeee rahaa sana kulisha au kulishwa tena tabiya hiyo hujenga ukaribu zaidi baina yenu !!
Hahaaaa sinia moja mikono ishirini!
Watu wanafinyanga matonge, wanalamba mikono, wanarudi tena kufinyanga.
Ni uchafu lakini kuna raha yake. Leo hii siwezi hata kula ugali na watu halafu wote tuwe tunachovya kwenye bakuli moja.
Kabisa kwa waijuayo !! lakini vizazi Dot.com i dn't garantii !!umeona eeeeeh
Mi nilikuwa mtaalamu wa kwenda kula ubwabwa kwenye Maulid za watu mtaani.
Mida kama ya saa tano tano hivi unaanza kusikilizia harufu ya pilau.
Ile sinia linapelekwa na wewe huyo tayari ushasogea.
Halafu sasa kabla hata halijawekwa chini watu washaanza kudaka matonge ya nyama.
Mpaka linafika chini nyama zishaisha kilichobaki vifupa tu.
Mwananyamala Visiwani kuna vituko sana aisee.
Heeh!!, kumbe ndio ww tulikuwa tunakuita chopeko na mnofu enzi zile duh,,ulikuwa na master ya ubunifu na Phd ya hiyo kitu maana sinia ilikuwa haifikichini nyama zimeshakamatwa juu kwa juu utadhani unasumaku.
Kweli ile Mwananyamala visiwani ulikuwa unatisha aisee.
Wewe ungekulia kwenye familia yetu ungekuwa unalia kila sikumie huwa nawahi kumaliza nyama........
Unakumbuka jinsi ulivyokuwa unaanguka kitandani ...lol!!!!!!!!!!ila umenikumbusha enzi za zaman
Mi nilikuwa mtaalamu wa kwenda kula ubwabwa kwenye Maulid za watu mtaani.
Mida kama ya saa tano tano hivi unaanza kusikilizia harufu ya pilau.
Ile sinia linapelekwa na wewe huyo tayari ushasogea.
Halafu sasa kabla hata halijawekwa chini watu washaanza kudaka matonge ya nyama.
Mpaka linafika chini nyama zishaisha kilichobaki vifupa tu.
Mwananyamala Visiwani kuna vituko sana aisee.
Kuna watu wanatiririka hadi raha....
Halafu kuna mtindo wa uswazi ambapo watu wote wananawa mikono kwenye bakuli moja (maji kiduchu) ....hadi maji yote yanakuwa brown/chorcolate....
Halafu kulikuwa na madogo wenye tabia mbaya...
Anaficha finyango zake na wengine wote mkimaliza yeye ndoa naanza kula kwa madaha kama paka aliyeshiba panya... Anawakera kiasi kwamba kama hana ubavu mnamvamia na kumpora....