Uswazi na misosi!

Uswazi na misosi!

Dah umenikumbusha mbali sana

Ila uzuri wa sisi ma-lastborn tunatengewa chetu naana hatuweI spidi ya wakubwa

Ole wangu niende ugenini laZima nirudi njaa inauma, chezea spidi ya kwenye sinia wewe
 
Dah umenikumbusha mbali sana

Ila uzuri wa sisi ma-lastborn tunatengewa chetu naana hatuweI spidi ya wakubwa

Ole wangu niende ugenini laZima nirudi njaa inauma, chezea spidi ya kwenye sinia wewe

Hahahahahaaaaaaaaaaaaaa

Tena nyie wa kike mlikuwa mnatengewa sinia lenu maana kwetu mlikua mnaambulia manyoya tu ...lol!!!!!!!
 
Dah! Kweli kbs, binafsi niliacha hii tabia, nilipokuwaga COET, ulikuwa ukikaa kwa bwashee ukiagiza kuku au nyama anatokea kunguru juu ya mti analenga sahani yako, na inabidi msosi uishie hapo kwa siku hiyo! Ndo tukaja na staili unakula kwanza kuku nyama au samaki wako then ndo unakula wali, incase kunguru akija unakuwa umeshakula cha thamani zaidi!
Aisee uswazi kuna raha yake
 
Yani mimi mpaka leo nikiagiza chakula nyama nakula mwisho mwisho. Uswazi raha sana.
 
Kunguru wakawafanya muwe mnakula nyama kwanza

Kwanini msitengeneze manati mkuu?
 
Yani mimi mpaka leo nikiagiza chakula nyama nakula mwisho mwisho. Uswazi raha sana.

Mkuu siku ukialikwa ikulu ukakutana na nyama "shazi" utakula mwishoni hizo nyama?
 
mimi nimekumbuka ile kunawa wa mwisho ukiwa mdogo na hutakiwi kuacha kula na kuondoka kabda ya wakubwa hahahahaaaa
 
basi watoto wa madrasa tukaalikwa arobaini ya mtoto kwa shehe mmoja bahili sana,akatunawisha vizuri then akatuletea mafuta ya mboga,kumbe mwisho akaleta mafenesi.watu wakazira kula
 
hahahahaha heri yako wewe mimi nimeanza kula mwenyewe na mwaka mmoja tu
ila mwanangu nahisi nitamlea kiyai yai

ukimlea kiyai yai dada atamfundisha tu. wangu anamiaka 4 dada keshanisaidia kumfundisha kunawa akijisaidia yeye dada anamwagia maji ananawa mwenyewe tena na sabuni
 
Vipi,wewe ukiwa kwenye msosi unaousisha kitoweo kama kuku,au nyama ya ng'ombe unaacha vile vi finyango hadi mwishoni au unakula bila kuzingatia kuwa kuna finyango?

Hebu tukumbuke kidogo na tufurahi na kucheka hizi enzi zetu za uswazi!!!!!!

Hapo kuna ile mnaacha firigisi, au paja ale baba au mgeni. Kuna siku tunapiga mpunga kwenye sinia mbele yangu limekaa paja. Kwa kweli ilibidi nirefushe mkono kuchukua nyama ya mbali kwa sababu paja ni la wakubwa, ngoma ikaenda karibia na finali hakuna mtu wa kuichukua. Wananiambia mbona hauli nyama huku nasuasua nikachangamkia fursa japo nilijisikia vibaya lakini wote wanaelewa taratibu zetu. Ina maana nilikula nyama zaidi ya mgawanyo wa 2 kwa kila mtu. Ilinitokea kwa family friend!
 
Back
Top Bottom