Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,536
Kaka umenikumbusha enzi zangu nilipokuwa naishi Tandale kwa Mkunduge
huku ukidai.....
Kaka umenikumbusha enzi zangu nilipokuwa naishi Tandale kwa Mkunduge
muhimu sana hiyo maana tunaoishi uswahilini wageni zetu huwa wanavizia mida ya lunch.
nyie ni wa dot.com sio wale wa zamani!!!!
Mkuu siku ukialikwa ikulu ukakutana na nyama "shazi" utakula mwishoni hizo nyama?
Mi nilikuwa mtaalamu wa kwenda kula ubwabwa kwenye Maulid za watu mtaani.
Mida kama ya saa tano tano hivi unaanza kusikilizia harufu ya pilau.
Ile sinia linapelekwa na wewe huyo tayari ushasogea.
Halafu sasa kabla hata halijawekwa chini watu washaanza kudaka matonge ya nyama.
Mpaka linafika chini nyama zishaisha kilichobaki vifupa tu.
Mwananyamala Visiwani kuna vituko sana aisee.
Mie enzi zangu basi likiletwa sinia la wali yani kabla halijawekwa mezani naanza kuangalia wapi kuna nyama kubwa yani likifika tu naidaka ile nyama kubwa then ndo naendelea kula