Tabia mbaya nliyonayo mpaka sasa ni hii ya kushindwa kula pilau bila nyama. Hata nkienda kwa Mama Ntilie kula akinambia kuwa pilau au wali hauna nyama basi lazma nilie nyau apunguze bei na ikishindikana inabidi ninunue mishikaki au migoko ya kwio kwio.
Na kugegedwa piampaka leo..napenda sana nyama.....napenda kula..
yani kula na usingizi ndo starehe zangu
Mkuu hiyo wanzuki itakuwa ni Shy Town hiyo au?
kwa kweli namshukuru sana baba yangu, Mungu amlaze mahala pema peponi..sisi hatukuwa matajiri lakini nyama ilikuwa inapikwa nyumbani kwetu kila siku iendayo kwa Mungu..yani mimi hadi niliichukia nkawa sili nyama..kitu nilikuwa napenda bila kukinai ilikuwa samaki wa kuakaanga kulumangia na maziwa mgando hapo ugali utaenda..
Hata asubuhi ya leo nilipokuwa napata supu na chapati, nilimaliza chapati na mchuzi kwanza, halafu finyango kama mbili tatu hivi za kubakizia ladha mdomoni ndio zikawa mwishoni! Ni kaugonjwa aisee!
Na kugegedwa pia
Kuna watu wanatiririka hadi raha....
Halafu kuna mtindo wa uswazi ambapo watu wote wananawa mikono kwenye bakuli moja (maji kiduchu) ....hadi maji yote yanakuwa brown/chorcolate....
Kisha msosi unapigwa... with good manners, hutakiwi kuvusha mkono juu ya msosi...unakula upande wako!!
Karibu chukua sinia moja upige goti.. uanze kula Sista...
![]()
With Respect !! haki ya nani tena...Ukihitaji hiyo kuchukua daily!! kazi rahiisi...Wee olewa na shehe tuu !! utapata hadi yakukifu!! Maana kila siku kuna mwaliko!! NB; (Taadhima na adabu kwa mashehe wangu)aiseee
vingekuwa vinachukulika ningeshachukua
Tabia mbaya nliyonayo mpaka sasa ni hii ya kushindwa kula pilau bila nyama. Hata nkienda kwa Mama Ntilie kula akinambia kuwa pilau au wali hauna nyama basi lazma nilie nyau apunguze bei na ikishindikana inabidi ninunue mishikaki au migoko ya kwio kwio.
Jaribio kama hili ilikuwa ni kuomba kichapo cha mbwa mwitu....
Misosi yote inaliwa kwanza halafu nyama au samaki mwisho.....