Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,005
- 142,604
Mkuu umenikumbusha jamaa mmoja alikuwa ni mtaala sana wa kujua ilipo misiba,hitma,ubarikio,ubatizo,40 n.k
Huyu jamaa ni noma,alikuwa anakibaraghashia na alikua anaweka ndizi mbivu na pilipili
Ikitokea shughuli yeye anakua yupo kamili ....lol!!!!!!!!!!!!!
hahahahhaha baba paroko nahisi unanisema mimi yaani mpaka leo nimeshazoea kuacha nyama ya mwisho hata ziwe finyango nyingi kiasi gani kwenye plate yangu lazima kipande kimoja nikile mwishooooo afu kaka zangu walikuwa wanachukia ile tabia tunakula pamoja then chakula kikianza kuisha wanaambiwa muachieni mtoto hapo mimi bichwaa hiloooo
Hata asubuhi ya leo nilipokuwa napata supu na chapati, nilimaliza chapati na mchuzi kwanza, halafu finyango kama mbili tatu hivi za kubakizia ladha mdomoni ndio zikawa mwishoni! Ni kaugonjwa aisee!
Nimetoka kwa mama ntilie muda huu na nimekumbuka hii kitu baada ya kumuona jamaa mmoja anafanya hivyo nikamuuliza nae ilibidi acheke sana!
Wacha kabisa! Mwananyamala Kisiwani nna historia ndefu. Jaribu kwenda pale Mwembekona kwa mzee Mapinduzi umwulizie Diego au Bwanyenye watakwambia.....
Hahahahahaaaaaaaaaa!!!!
Na sisi tulikua na dogo ambae tulikua hawawezi kuruhusu tule nae maana lazima alikua analala au kushinda njaa maana tulikua tunakwenda speed ya jet kwenye kurusha matonge mdomoni ....lol!!!!!!!!!!!
Oh My lord !! tyta bhanaa... hapo sasa nikujiaachia hadi maulidi iishe!!!!
Mkuu hii menu ya 2000's, sa hizi huwezi kupata 'Chai cha maziwa' kwa bei hiyo. Ila maandishi yake ni burudani tosha hata kabla haujaagiza!
Oh My lord !! tyta bhanaa... hapo sasa nikujiaachia hadi maulidi iishe!!!!
hata asubuhi ya leo nilipokuwa napata supu na chapati, nilimaliza chapati na mchuzi kwanza, halafu finyango kama mbili tatu hivi za kubakizia ladha mdomoni ndio zikawa mwishoni! Ni kaugonjwa aisee!
hii ndio yenyewe sasa
huwa kuna mikao yake kwenye shudhuli kama hizi ....lol!!!!!!
Cc: mtambuzi .......!!!!!!!!!
njaa imenivagaa ghafla...