Uswazi na misosi!

Uswazi na misosi!

Mkuu umenikumbusha jamaa mmoja alikuwa ni mtaala sana wa kujua ilipo misiba,hitma,ubarikio,ubatizo,40 n.k

Huyu jamaa ni noma,alikuwa anakibaraghashia na alikua anaweka ndizi mbivu na pilipili
Ikitokea shughuli yeye anakua yupo kamili ....lol!!!!!!!!!!!!!

Ahahahaaaa nilichojifunza mimi ni kwamba ubwabwa wa shughulini usiununulie ndizi.

We tinga tu kininja, daka tonge, kula ubwabwa, kunywa mirinda yako halafu sepa.
 
1620679_653706044667093_1406226142_n.jpg
 
hahahahhaha baba paroko nahisi unanisema mimi yaani mpaka leo nimeshazoea kuacha nyama ya mwisho hata ziwe finyango nyingi kiasi gani kwenye plate yangu lazima kipande kimoja nikile mwishooooo afu kaka zangu walikuwa wanachukia ile tabia tunakula pamoja then chakula kikianza kuisha wanaambiwa muachieni mtoto hapo mimi bichwaa hiloooo

Hahahahahaaaaaaaaaa!!!!

Na sisi tulikua na dogo ambae tulikua hawawezi kuruhusu tule nae maana lazima alikua analala au kushinda njaa maana tulikua tunakwenda speed ya jet kwenye kurusha matonge mdomoni ....lol!!!!!!!!!!!
 
Tabia mbaya nliyonayo mpaka sasa ni hii ya kushindwa kula pilau bila nyama. Hata nkienda kwa Mama Ntilie kula akinambia kuwa pilau au wali hauna nyama basi lazma nilie nyau apunguze bei na ikishindikana inabidi ninunue mishikaki au migoko ya kwio kwio.
 
Hata asubuhi ya leo nilipokuwa napata supu na chapati, nilimaliza chapati na mchuzi kwanza, halafu finyango kama mbili tatu hivi za kubakizia ladha mdomoni ndio zikawa mwishoni! Ni kaugonjwa aisee!

Nimetoka kwa mama ntilie muda huu na nimekumbuka hii kitu baada ya kumuona jamaa mmoja anafanya hivyo nikamuuliza nae ilibidi acheke sana!

1175653_572695109434854_1484116756_n.jpg
 
Wacha kabisa! Mwananyamala Kisiwani nna historia ndefu. Jaribu kwenda pale Mwembekona kwa mzee Mapinduzi umwulizie Diego au Bwanyenye watakwambia.....

Nakumbuka ulivyo kuwa unatutesa kwenye mafinyango ya nyama kali kuliko zote ni pale ulipokuwa unashindilia kwenye mifuko ya kile kipensi chako, wakata wengine tulikuwa tukidaka nyama mdomoni we mfuko duh ulikuwa mjanja kweli yani nishida enzi hizoo!!!
 
Hahahahahaaaaaaaaaa!!!!

Na sisi tulikua na dogo ambae tulikua hawawezi kuruhusu tule nae maana lazima alikua analala au kushinda njaa maana tulikua tunakwenda speed ya jet kwenye kurusha matonge mdomoni ....lol!!!!!!!!!!!

hahahahahaha nahisi wewe ndo hao kaka zangu mimi nilikuwa nawatega tu kikianza kuisha ni cha
kwangu wakili bibi hapo
 
Nakumbuka enzi hizo ukipikwa wali nyama au maharage ama pilau watu tulikua tunaoga mapema na kutulia home nyakat za jioni
Wakati mwingine ilikua ukimaliza kula unaweka kipunje cha ubwabwa juu ya mdomo na kuanza kukiringisha....😀😀😀
 
Halafu kulikuwa na dogo mmoja, akiona anazidiwa basi anamwaga pili nyingi sana kiasi kwamba ukila hicho chakula lazima uchubuke midomo...

Wakati mwingine anatemea mate msosi wake wote ili kuwafukuzia mbali walafi...lol!
 
mpaka leo..napenda sana nyama.....napenda kula..
yani kula na usingizi ndo starehe zangu
 
hata asubuhi ya leo nilipokuwa napata supu na chapati, nilimaliza chapati na mchuzi kwanza, halafu finyango kama mbili tatu hivi za kubakizia ladha mdomoni ndio zikawa mwishoni! Ni kaugonjwa aisee!

hii ndio yenyewe sasa
huwa kuna mikao yake kwenye shudhuli kama hizi ....lol!!!!!!
Cc: mtambuzi .......!!!!!!!!!

huo mkao unaitwa ..on your marks...get ready...goooooooooooo...
 
Back
Top Bottom