Mlete mwanao kwenye shule yetu kwa elimu na malezi bora

Ayenda M

Member
Jan 4, 2018
97
132
Uongozi wa st. Marcus pre, primary and secondary school iliyopo iwambi mkoa wa mbeya inapenda kutangaza nafasi za masomo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza (msingi) na kidato cha kwanza (sekondari) kwa muhula wa masomo 2024/2025.

Tunapokea jinsia zote.

Pia, nafasi za kuhamia shule ya msingi kwa madarasa ya 2 - 6 zipo na sekondari nafasi za kuhamia kidato cha 1, 3 na 5 kwa sasa zipo.

Tunaendelea kupokea wanafunzi wanaohitaji kujiunga na pre form one.

Shule ya msingi ni ya bweni na kutwa

Na

Shule ya sekondari ni ya bweni tu.

Ada zetu ni nafuu sana na inalipwa kwa awamu na kiwango chetu cha taaluma ni cha viwango vya juu.

Form za kujiunga zinapatikana shuleni na vituo vilivyoidhinishwa na wale walio mbali fomu itakufikia popote ulipo pia mtihani wa kujiunga (interview exam) kwa kidato cha kwanza utafanyika tar. 28/10/2023 katika shule ya sekondari st. Marcus -iwambi pamoja na vituo vingine vitakavyo tangazwa.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0678275619, 0736275619 au 0676275619.
 
UONGOZI WA ST. MARCUS PRE, PRIMARY AND SECONDARY SCHOOL ILIYOPO IWAMBI MKOA WA MBEYA INAPENDA KUTANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA WANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA (MSINGI) NA KIDATO CHA KWANZA (SEKONDARI) KWA MUHULA WA MASOMO 2024/2025.

TUNAPOKEA JINSIA ZOTE.

PIA, NAFASI ZA KUHAMIA SHULE YA MSINGI KWA MADARASA YA 2 - 6 ZIPO NA SEKONDARI NAFASI ZA KUHAMIA KIDATO CHA 1, 3 na 5 KWA SASA ZIPO.

TUNAENDELEA KUPOKEA WANAFUNZI WANAOHITAJI KUJIUNGA NA PRE FORM ONE.

SHULE YA MSINGI NI YA BWENI NA KUTWA
NA
SHULE YA SEKONDARI NI YA BWENI TU.

ADA ZETU NI NAFUU SANA NA INALIPWA KWA AWAMU NA KIWANGO CHETU CHA TAALUMA NI CHA VIWANGO VYA JUU.

FORM ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA SHULENI NA VITUO VILIVYOIDHINISHWA NA WALE WALIO MBALI FOMU ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO PIA MTIHANI WA KUJIUNGA (INTERVIEW EXAM) KWA KIDATO CHA KWANZA UTAFANYIKA TAR. 28/10/2023 KATIKA SHULE YA SEKONDARI ST. MARCUS -IWAMBI PAMOJA NA VITUO VINGINE VITAKAVYO TANGAZWA.

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KUPITIA 0678275619, 0736275619 AU 0676275619.
Kwakuwa umekuja mwenyewe jibu maswali hapa kukupigia naogopa utaipata namba yangu alafu uwe unanijulia hali na mimi sipendi mawasiliano kabisa .

Vipi bwana kwa mtoto wa primary ada ni kiasi gani kwa mwaka ?
 
Back
Top Bottom