huku kwetu
Senior Member
- Sep 7, 2016
- 145
- 194
Yan chuo disc inasaidia sanaaaaa, pia usiwecho kushare unachokijua na wenzako. Hasa kwenye disc
Sifanyagi discussion ila nina GPA ya 4.5 hapo unasemaje Mkuu?Hapo kwenye asilimia hapana aisee! Discussion ina umuhimu sana kwa ufaulu wa chuo!
Nashauri iwe walau 60 kwa 40%!
Bro cha muhimu...Samahanini wapendwa Mimi ni mwanafunzi wa first year chuo kikuu natamani kujua. Njia nzuri au namna nzuri ya kusoma itakayonifanya nipate ufaulu mkubwa.Mfano sekondari tulitumia njia ya kusolve mitiani mingi na maswali mengi je chuo ni njia gani naweza kutumia
Ajira zipo na hata ukipata ajira ni muhimu kufanya biashara. Hizo gentleman GPA ni hasara tupu kwa mtu mwenye malengo.Bro cha muhimu...
Ni pesa.
Hilo bumu fanyia mtaji ufanye kijibiashara ukipendacho.
Gentleman GPA huku ukiwa na pochi nene INATOSHA SANAA.
Unaweza kusoma na kupata A zotee ila frankly speaking "AJIRA HAKUNA"
#YNWA
Braza Nilipata ajira serikalini na GPA ya 2.8.Ajira zipo na hata ukipata ajira ni muhimu kufanya biashara. Hizo gentleman GPA ni hasara tupu kwa mtu mwenye malengo.
Yaliyokushinda wenzio wanayaweza museeBraza Nilipata ajira serikalini na GPA ya 2.8.
Na sasa Nina masters ya GPA ndogoo na soon naenda kuchukua PhD na kitamaliza ya GPA ndogoo.
Rafiki yangu mkubwa ni IT wizara fulani Tena ni IT mkubwaa ila bachelor alipata 2.2 GPA.
Form 4 nilipataga Div 1.11 ila sikuwahi kujua umuhimu wake zaidi ya upuuzi tu.
Maana hata wale wa C flat (div 3) nilikutana nao advance.
The issue is not GPA the issue is what next after great GPA?
Tafuta hela broo achana na hayo makaratasi.
Katika kitu ambacho huwa nawaambia Hawa wadogo zangu huku nilipo "Being average at school it's also enough"
Huna haja ya kupata ma A mengiii, chakufanya HAKIKISHA UNAFAULU TU.
#YNWA
Yaani kupata GPA kubwa Kuna faida gani?Yaliyokushinda wenzio wanayaweza musee
Thank you teacher!Yaani kupata GPA kubwa Kuna faida gani?
Mi nilipataga one form 4 SIKUONA FAIDA YOYOTEEE.
Labda uniambia wewe, FAIDA NI ZIPI NDUGU MWANAFUNZI?
#YNWA
Ofisi yetu ina mtu ana GPA ya 4.5 na Kuna mwenye 2.9 na Kuna sisi tuna za 3.2...Thank you teacher!
Mbona mi sikuwa nafanya discussion na mtu na bado GPA ikawa nzuri?Hapo kwenye asilimia hapana aisee! Discussion ina umuhimu sana kwa ufaulu wa chuo!
Nashauri iwe walau 60 kwa 40%!
Sasa unge mix na discusion huoni kama unhekua na 4.8 au 4.9? Kiuhalisia Sio kila mtu anaweza disc na sio kila mtu anaweza kusoma alone.Sifanyagi discussion ila nina GPA ya 4.5 hapo unasemaje Mkuu?
GPA ya 4.5 inategemea n chuo gani pia usikute MTU anasema ana 4.5 kumbe n SAUT universitySasa unge mix na discusion huoni kama unhekua na 4.8 au 4.9? Kiuhalisia Sio kila mtu anaweza disc na sio kila mtu anaweza kusoma alone.
All in all, i can say njia bora ya kusoma ni 60% alone plus 40% discusion.