cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,308
First Leg.
YANGA 4-1 USM ALGERS
Second leg.
USM ALGERS 2-1 YANGA
MAGOLI YA YANGA.
MAYELE️
️
AZIZI KI️
MORRISON️
MUSONDA️
YANGA anabeba huu UBINGWA.
Kama huu UBINGWA hautokuja TZ najiondoa NAWEKA PICHA ZANGU HALISI HUMU NDANI.
















nakutafutaaaa sanaaa mbna huonekaniii jamviniii?? Vipii kwemaaaaa?Hakuna cha penalty Hawa wanapigwa nje ndani tunza hii comment
Yanga itasumbua Sana soka la africa kuwa miaka mingi Sana ijayo!!.




njooo usemee tenaaaYanga wanastahili kwa asilimia 96 msimu huu kulibeba hilo kombe la Africa.
USM Alger nilivyo waangalia kwa umakini hawana stamina ya kuifunga Yanga.
Alger ni Marumo iliyochangamka kidogo.







haswaaaaaaaaBado yuko sahihi USM Alger atapigika 2-0, tunza huu ujumbe tukiomba heri ya uzima.haswaaaaaaaa
Hebuuu njoo utoe maneno kidogooo
Amkaaa wee ni mchanaa sahivi, utajikojoleaa bureeBado yuko sahihi USM Alger atapigika 2-0, tunza huu ujumbe tukiomba heri ya uzima.
Bahati ya Ubingwa wa Yanga FC wa CAFCCL 2023 upo ugenini 03/06/2023.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app








