Usiyoyajua sakata la shamba la Sumaye

Usiyoyajua sakata la shamba la Sumaye

Mwandishi angesaidia pia kujua huyo mwenye ekari 100,000/= ingekaa njema!!!

Nimepata shaka pia kutokana na majibu ya Lukuvi. Hivi huko Sekondari tunafundishwa kuwa Agriculture inahusisha Kilimo na Ufugaji. Sasa Sumaye kalima sehemu na nyingine anaitumia kufuga.

Je, kwa uelewa wa tunayoyafundisha kwa watoto wetu, hapo Sumaye ana kosa hadi afutiwe hati kwa kufuga?

Mchanganyo mchanganyo. Ila hizo 100,000/= wakisaidia tukajua ni za nani na ziko wapi itakaa njema sana.

Ekari 300-1000 hata raia wa kawaida tu wanamiliki na wengine hata Dar es Salaam na sasa hivi ndiyo mabingwa wa kukata Viwanja kwa vipimo vya Miguu huko Madale, Mbezi Louis, Chanika, Masaki (ya Kisarawe), Kiluvya (huku nako Sumaye alikuweko), etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufuga ng'ombe 60 kwa ekari +400 !? Hakuomba Ranch kwa mamlaka, bali shamba la kilimo
 
Waandishi wetu ni Uchwara kweli kweli na Ndio Sababu wamevamiwa na kudhalilishwa na Makonda na baadae wao ndio wakaja kumuomba radhi Mvamizi!

Mwandishi Makini wa Habari ya Kiuchunguzi alipaswa kuelezea Historia ya Awali ya Sumaye kupata Shamba hili na Mgogoro ulioibuka wa Wananchi kupinga Sumaye kujimilikisha Eneo hili kwa jina la Mkewe kwa kutumia nafasi yake ya Uwaziri Mkuu!

Alipora hiki Eneo kutoka kwa Chama cha Ushirika na ililalamikiwa sana Hali hii mpaka kwenye Media na Majukwaa ya Kisiasa lakin Leo kwa unafiki wanajifanya kumhurumia

Shamba la Wizi haligeuki kuwa halali kwa kuw kuna maeneo umelima Lima kuzuga
Nimeisoma story yote, mwanzo hadi mwisho na sijaona mahali palipo onesha kwamba Mwananchi wanamtetea au kumwonea huruma Sumaye. Wameeleza jinsi ambavyo ccm ilivyo athirika kwenye chaguzi mbalimbali because of this SHAMBA na pia wamesema/wame predict jinsi gani ambavyo ccm itashinda uchaguzi kwasababu ya shamba hili hili.
 
Yani shamba la hekari zaidi ya 400 halaf kalima hekari 2 ndio anasema kaliendeleza?!

Kwa hayo maelezo sidhani hata kama katumia hekazi 5 ktk hilo shamba..wamwachie hekari 10 nyingine wapewe wananchi

Kuna mtu keshalalamika kakosa Ardhi hapo Mvomelo? Kama hakuna kwa nini anyanganywe mali yake?, mbona Ardhi imejaa tele Tanzania,
 
Agricultural and Husbandry ni sawa !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Andika arable farming and hasbandry,

Kuliama mazao na kufuga wanyama,
Alichotakiwa lukuvi kusema ,ni kumfundisha sumaye kumiliki eneo dogo tu la ardhi ,lingetosha kwa ufugaji,maana angeweza kufuga kisasa (cedentary) .unakua na eneo dogo una dril kisima cha Maji na eneo la kukuzia majani lisilozidi hekta 15 anavuna majani na kuhifadhi kwaajiri ya kiangazi.

Serkali inatakiwa itoe elimu ya kilimo cha ufugaji hadi kwa wasukuma na wamasai wanaofuga mifugo mingi isio na faida mwisho wakati wa kiangazi wanakufa au wanasababisha vita na wakulima wadogo(subsistance).
 
Wamwachie heka 20 za mraba kuzunguka nyumba,
ardhi ingine wapewe wananchi,
tunataka ardhi izalishe sio kufugia vichaka na nyoka
 
Andika arable farming and hasbandry,

Kuliama mazao na kufuga wanyama,
Alichotakiwa lukuvi kusema ,ni kumfundisha sumaye kumiliki eneo dogo tu la ardhi ,lingetosha kwa ufugaji,maana angeweza kufuga kisasa (cedentary) .unakua na eneo dogo una dril kisima cha Maji na eneo la kukuzia majani lisilozidi hekta 15 anavuna majani na kuhifadhi kwaajiri ya kiangazi.

Serkali inatakiwa itoe elimu ya kilimo cha ufugaji hadi kwa wasukuma na wamasai wanaofuga mifugo mingi isio na faida mwisho wakati wa kiangazi wanakufa au wanasababisha vita na wakulima wadogo(subsistance).
Lukuvi amfundishe kilimo Sumaye? mbona bavicha watu wa ajabu sana!
 
Aisee 450 heka huyu mzee halafu anayo kama 10 hivi kawaweka ndugu zake. Serikali itaifishe kila kitu hata pale anapokaa ahamishwe tu.
 
Sasa kama Ccm ilifutika hapo kijijini kwa sababu ya fisadi huyu Cdm itapona kweli.
 
ukitaka kufanikiwa njoo ccm, in sumaye's voice kinachompata alikitengeneza yeye mwenyewe,kwa kuwa tuliumbiwa kusahau mkuu alisahau kuwa kujitenga na ccm ni kukaribisha maisha magumu.tuendelee kusoma namba.
 
Sumaye ni jamii ya akina Makonda, Gumbo, Happya na Mpango ambao wanadhani watakuwa madarakani milele.
 
Back
Top Bottom