Haa haa halafu yeye ana mtaji mzuri tu na ruzuku juu kama waziri mkuu sasa kama yeye kashindwa je sisimagunia 60 kwa hekari 400
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa haa halafu yeye ana mtaji mzuri tu na ruzuku juu kama waziri mkuu sasa kama yeye kashindwa je sisimagunia 60 kwa hekari 400
Ni kweliWaandishi wetu ni Uchwara kweli kweli na Ndio Sababu wamevamiwa na kudhalilishwa na Makonda na baadae wao ndio wakaja kumuomba radhi Mvamizi!
Mwandishi Makini wa Habari ya Kiuchunguzi alipaswa kuelezea Historia ya Awali ya Sumaye kupata Shamba hili na Mgogoro ulioibuka wa Wananchi kupinga Sumaye kujimilikisha Eneo hili kwa jina la Mkewe kwa kutumia nafasi yake ya Uwaziri Mkuu!
Alipora hiki Eneo kutoka kwa Chama cha Ushirika na ililalamikiwa sana Hali hii mpaka kwenye Media na Majukwaa ya Kisiasa lakin Leo kwa unafiki wanajifanya kumhurumia
Shamba la Wizi haligeuki kuwa halali kwa kuw kuna maeneo umelima Lima kuzuga